To all JF fans: Have an enjoyable, nice weekend! Umeguswa na tukio gan wiki hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To all JF fans: Have an enjoyable, nice weekend! Umeguswa na tukio gan wiki hii?

Discussion in 'Entertainment' started by Teamo, Jun 12, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Siongei mengi katika hili!kichwa cha thread kinazungumza.
  Poleni na kazi kwa wiki nzima wakuu wangu,nawatakia mapumziko mema,mzisalimie familia zenu pia!MBARIKIWE SANA

  wiki hii ilikuwa ya kihistoria kwangu!nimepata 'shock' na uhamisho wa kihistoria wa cristiano ronaldo kwenda real madrid.Kwakweli mpira ni biashara kubwa sana kwa nchi za ulaya.nikiangalia kiwango cha uchezaji bongo huwa nakata tamaa,natamani kama ningekuwa ughaibuni au mashariki ya mbali kama watanzania wenzetu kadhaa wanaoishi huko.

  NAAMINI KILA MTU AMEGUSWA KWA NAFASI YAKE,kwa matukio tofauti tofauti!

  NAWAPENDA SAAANA WANA JF!i hope tutakamatana tena wiki ijayo.
  KARIBUNI KWETU KIMARA-SUKA JAMANI.
   
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  GEOFF,
  Asante kwa kututakia wikendi njema.
  WIKI hii nimeguswa sana na suala la CHRISTIAN RONALDO kuuzwa kwa REAL MADRID.
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  WoS kuwa Cerebrity na SuperLady wa JF
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Uhamisho wa Ronaldo to Real Madrid!..

  Kenyan Budget (2009/2010)...


  Enjoy your weekend as I intend to!...
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mauaji ya Mabibo Hostel !
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hii hata mimi imenigusa,na nimeipenda!
  pia WoS anapoweka wazi 'mapenzi yake kwa JACK-PEMBA' nimeikubali sana
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Belinda,na Sinkala HESHIMA YENU WAKUU!ukweli mauaji ya mabibo hostel yamenitia simanzi pia.hii wiki ilikuwa wiki ya matukio
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Stimulus package ya kuchochea wizi...

  Undevelopmental budget ya mkulloo..

  Impressed with focused budget ya Uhuru...

  Noni kupewa ulaji na wasiotaka kulaumuuuu........
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MANENO MAZITO HAYO MKUU NYAUBA!pamoja sana
   
 10. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  To all JF 'funs'- hapo naona umelikoroga
   
 11. ram

  ram JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,201
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Vurugu zilizotokea Arumeru.

  Weekend njema pia!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WIKIENDI NJEMA PIA!hizi vurugu mkuu ndo uvamizi wa eneo la uwekezaji la mheshimiwa kimaro?
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280
  Mi kuna mtu nime m PM huku JF hajanijibu nimemaindi!

  wakulu weekend njema....ya kwangu naona waka haitakuwa njema kabisa.....grrrrrrrrrrr


  (Lakini pia nimeguswa na suala la yoyo kuwa banned..sijui amefunguliwa?)
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jun 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mimi nimefurahi huyo Yo Yo kufungiwa....alim disrespect Cuppy
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280

  Niliona hiyo mkuu...nadhani uli influence kidogo maamuzi....lol
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jun 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oooh yeah....

  Na wewe unataka kufungiwa?
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MUHARIBIE HUYU NGABU!
  tuone influence yako inavyowork
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280

  Life goes on Geoff.....
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280
  hebu mshtue tuone......
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jun 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  It seems like wewe ndo unatakiwa ubaniwe....unataka?
   
Loading...