TMK hamuwezi mziki game imebadirika

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Washakji wametoa nyimbo mpya wana ladha ya miaka ya tisini ile ile yaani hamna kitu hapa kwakweli game imebadirika endeleeni kulea familia zenu tu huko mziki wapisheni kidogo vijana wafanye

Sio shabiki sana wa mziki wa kibongo ila kwa hapa mmepotea bora hata msingetoa hii nyimbo

sound mbovu
video mbovu
producer naye hajui kitu

Mlioimba ndio mmepaka tope kabisaaa
nyie ni wakubwa mpo kitambo katika game ya mziki sio watu wakuwashauri mlipaswa muwe watu wakufanya wengine waige kwenu

Rudini studio mkajipange upya nimeharibu tu mb zangu kupakua hii video

1569654834119.png
 
Kama ni Kijiwe Nongwa mbona Bidada aliyefanyiwa nongwa ameshawajibu kuwa maskini akipata tako litalia mbwata!
 
Back
Top Bottom