TMA yatoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
1079126

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), yatoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi, zitakazoacha athari katika shughuli ikiwepo baadhi ya makazi kuzingirwa na maji.

Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa TMA, Samwel Mbuya amesema kuwa wananchi wanatakiwa kujiandaa kwani kutakuwa na mawimbi makali, upepo mkali na mvua kubwa.

Mikoa iliyotajwa kukumbwa na hali hiyo ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Amesema kutakuwa na kutawanyishwa/kupeperushwa kwa takataka mitaani, kuanguka kwa majani na matawi madogomadogo ya miti, kuathirika kwa baadhi ya shughuli za uvuvi na usafiri baharini pamoja na ugumu wa upatikanaji wa samaki.
 
Chukueni tahadhari. Vyombo vya kimataifa vimeshatangaza kutakuwa na cyclone Tanzania na Msumbiji
 
kuna taarifa ya kimbunga kitatokea kuanzia leo hadi 27 April 2019. kwa maana leo ndio kitakua kimbunga kamili kitaland between Lindi, Mtwara na Mozambique. fuatilieni kwa umaini hiyo taarifa metoka tangu 19th april 2019.

Hivyo tuache kudharau maana land speed inategemewa kuwa 70km per hr hivyo mikoa ya Tanga, Dar Lindi na Mtwara jiandaeni kwa Mvua na upepo mkali.
 
View attachment 1079126

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), yatoa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi, zitakazoacha athari katika shughuli ikiwepo baadhi ya makazi kuzingirwa na maji.

Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri wa TMA, Samwel Mbuya amesema kuwa wananchi wanatakiwa kujiandaa kwani kutakuwa na mawimbi makali, upepo mkali na mvua kubwa.

Mikoa iliyotajwa kukumbwa na hali hiyo ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Amesema kutakuwa na kutawanyishwa/kupeperushwa kwa takataka mitaani, kuanguka kwa majani na matawi madogomadogo ya miti, kuathirika kwa baadhi ya shughuli za uvuvi na usafiri baharini pamoja na ugumu wa upatikanaji wa samaki.
Hawajawahi kutabiri ukweli. Wamesema Tanga leo kutakuwa na mvua kubwa, kuna jua la kufa mtu. These ere quite unprofessional, afadhali kunyamaza kuliko kusema upuuzi huku ukijiita mtaalamu!
 
kuna taarifa ya kimbunga kitatokea kuanzia leo hadi 27 April 2019. kwa maana leo ndio kitakua kimbunga kamili kitaland between Lindi, Mtwara na Mozambique. fuatilieni kwa umaini hiyo taarifa metoka tangu 19th april 2019.

Hivyo tuache kudharau maana land speed inategemewa kuwa 70km per hr hivyo mikoa ya Tanga, Dar Lindi na Mtwara jiandaeni kwa Mvua na upepo mkali.
hamha kitu ni uongo mtupu. hawajawahi kutabiri hali ya hewa na ukawa ukweli!
 
Hawa wakishatangaza tu ujue ni nehi ......wako vise versa Sana.
Lakini tuchukue tahadhari tu
Mwana mpotevu kwa kua leo umeonekana jukwaani basi mvua kubwa, upepo pamoja radi zinapatikana katika pwani ya bahari ya hindi.
 
kuna taarifa ya kimbunga kitatokea kuanzia leo hadi 27 April 2019. kwa maana leo ndio kitakua kimbunga kamili kitaland between Lindi, Mtwara na Mozambique. fuatilieni kwa umaini hiyo taarifa metoka tangu 19th april 2019.

Hivyo tuache kudharau maana land speed inategemewa kuwa 70km per hr hivyo mikoa ya Tanga, Dar Lindi na Mtwara jiandaeni kwa Mvua na upepo mkali.
wamenitia hasara hao jamaa, nimeandaa shamba baada ya kuniambia mvua itanyesha lakin badala yake limewaka jua mwanzo mwisho.
 
Kumbe kuna Watu wanaopoteza kabisa mida kwa kukaa na kuanza kuwasikiliaza hawa TMA
Tahadhari itiliwe maanani! Hata vyombo vya kimataifa vimetoa tahadhari ya kimbunga cha maafa kama kile kilichotokea Msumbuji. Kinarudi tena kuzikumba baadhi ya sehemu za Msumbiji na Kusini mwa Tanzania. Possibly mvua kubwa na upepo unaweza kuja mpaka maeneo ya pwani ya Dar!
https://www.nation.co.ke/news/afric...ue--Tanzania/1066-5084216-14lrq24z/index.html

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom