TMA yatabiri mvua kubwa kwa mikoa ya mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhali ya kuwepo kwa mvua kubwa kwa mikoa iliopo mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14, 2022.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Aprili 11, 2022 inaonyesha kuwa mkoa inayoweza kukumbwa na mvua hiyo ni Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha Visiwa vya Mafia), Mtwara na Lindi pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Madhara yanayotarajiwa ni pamoja na makazi kujaa maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi
1649684222743.jpeg
 
View attachment 2183919
WAPUUZI TU HAWA, HAKUNA HATA TONE HAPA TANGA. KAMA HAMNA UJUZI /VIFAA VYA UTABIRI SI MNYAMAZE? YOU ARE VERY HOPELESS1
 
Nipo nasubiri kuvuna maji kwa sisi ambao Dawasa wanatupiga maneno kutuunganishia maji nimeacha matank wazi maana tumeambiwa kila kitu kitapanda
 
WAPUUZI TU HAWA, HAKUNA HATA TONE HAPA TANGA. KAMA HAMNA UJUZI /VIFAA VYA UTABIRI SI MNYAMAZE? YOU ARE VERY HOPELESS1
Tanga imetajwa maeneo machache mkuu acha kudharau taaluma za watu huwezi kuwepo maeneo yote ya Tanga kwa wakati mmoja ili utabiri ukufurahishe
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhali ya kuwepo kwa mvua kubwa kwa mikoa iliopo mwambao wa bahari ya Hindi kuanzia Aprili 12 hadi Aprili 14, 2022.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Aprili 11, 2022 inaonyesha kuwa mkoa inayoweza kukumbwa na mvua hiyo ni Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha Visiwa vya Mafia), Mtwara na Lindi pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Madhara yanayotarajiwa ni pamoja na makazi kujaa maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi
View attachment 2183919
Angalau muda huu wamepatia!
 
nawashauri TMA waache kutabiri mvua maana kila wakitabiri inakuwa tofauti na walivyosema wao watabiri mechi
 
Back
Top Bottom