johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,589
- 141,391
Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Huyu ni mtaalamu,ndio Meneja Operation...Hapiki data na wala data zake huwezi kudanganya sababu dunia nzima inatambua.Tuwe na utamaduni wa kusikiliza na kuwapa heshima wataalamu wetu,tusiwachanganye na siasa.Huyo elnino hakuiona huyo....elnino ilinyesha mfululizo karibia siku 10 leo mvua ya siku mbili uifananishie elnino!anatania huyo kumfurahisha aliemchagua au anatafuta kupanda cheo.
Anaitwa Hellen Msemo na si Msemwa...nakumbuka miaka ya nyuma nilikutana nae Shule ya Sekondari Maramba-Tanga akifundisha,wakati huo nilipeleka kijana wangu JKT-Maramba wakamuadabishe baada ya kuwa ananisumbua sana...Na walimnyoosha kwelikweliMeneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Inawezekana el nino ilinyesha siku kumi na hiisiku mbili ila ukipima wastani ukaona hii ni kubwa kuliko el nino.Huyo elnino hakuiona huyo....elnino ilinyesha mfululizo karibia siku 10 leo mvua ya siku mbili uifananishie elnino!anatania huyo kumfurahisha aliemchagua au anatafuta kupanda cheo.
kweli kila moja anaufahamu wake!!Huyo elnino hakuiona huyo....elnino ilinyesha mfululizo karibia siku 10 leo mvua ya siku mbili uifananishie elnino!anatania huyo kumfurahisha aliemchagua au anatafuta kupanda cheo.
hakikakweli kila moja anaufahamu wake!!
Ina maana imezidi ile ya 2014?!Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Mbona mi imenilowesha Dom mwaka huu huu 2017!Hivi huku dodoma walikuchawia nini?? Mbona mwaka sasa mvua haijawai kunyesha