TMA: Mvua iliyonyesha leo imezidi viwango vya ile ya elnino!

Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!



Mbona walisema mwaka huu mvua haitakuwa nyingi
 
Huyo elnino hakuiona huyo....elnino ilinyesha mfululizo karibia siku 10 leo mvua ya siku mbili uifananishie elnino!anatania huyo kumfurahisha aliemchagua au anatafuta kupanda cheo.
Huyu ni mtaalamu,ndio Meneja Operation...Hapiki data na wala data zake huwezi kudanganya sababu dunia nzima inatambua.Tuwe na utamaduni wa kusikiliza na kuwapa heshima wataalamu wetu,tusiwachanganye na siasa.

Hiyo mvua ya leo ni kiboko...
 
Meneja wa operesheni wa TMA Hellen Msemwa amesema mvua iliyonyesha leo imeweka rekodi mpya na kwamba kwa vipimo imeizidi ile ya elmino. Source channel ten habari!
Anaitwa Hellen Msemo na si Msemwa...nakumbuka miaka ya nyuma nilikutana nae Shule ya Sekondari Maramba-Tanga akifundisha,wakati huo nilipeleka kijana wangu JKT-Maramba wakamuadabishe baada ya kuwa ananisumbua sana...Na walimnyoosha kwelikweli
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom