TMA huu ni uzembe au bahati mbaya? Q400 yashindwa kutua Bukoba

Anonymeous

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
275
484
Katika hali isiyotarajiwa Abiria wa ATCL tuliokuwa tunasafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba asubuhi ya leo Tarehe 22/02/2020 imeshindwa kutua Bukoba kwa sababu ya kilichosemwa na Rubani Mkuu kuwa ni hali ya hewa. Rubani aliamua kuturudisha Mwanza.

Nini kazi ya TMA kushindwa ku update na kulisababishia Shirika hasara ya mafuta na Abiria muda wao kwa gharama. TMA Mwanza wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu umeambiwa hali ya hewa mbaya ulitaka rubani alazimishe kutua na mpate ajali? Halafu Tanzania hakuna mamlaka ya hali ya hewa ila kuna mamlaka ya UTABIRI wa hali ye hewa. Kama unaelewa hiyo tofauti huwezi kupata tabu.
 
Anonymeous,
Shukuru uhai wenu umenusuriwa na rubani, hasara ingejitokeza kama rubani angelazimisha kutua ili uwahi Kampala, Kanyigo, Ngara ama Karagwe na mambo yakaenda kombo... utabiri waweza kubadilika muda wowote, punguza kulalamika.
 
Hamna namna hapo jitahidi uwahi buzuruga kabla ya Frester, Isamilo and the like hazijaisha aisee,, Hii inaleta hali ya ufikirishi kidogo maana yake hiyo airport/airstrip ya Bukoba haina kitengo cha hali ya hewa? Ila Rubani angewafanyia wepesi mshukie hata hapo Burigi Chato mbugani mpate na utalii wa bure.
 
Utabiri wa hali ya hewa ni full probability calculations,so inaweza usitokee au ukatokea.Kwani hai endeshwi na binaadam bali ni nature ambayo sometimes you can't predict kitatokea kipi
 
Katika hali isiyotarajiwa Abiria wa ATCL tuliokuwa tunasafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba asbh ya leo Tarehe 22/02/2020 imeshindwa kutua Bukoba kwa sababu ya kilichosemwa na Rubani Mkuu kuwa ni hali ya hewa. Rubani aliamua kuturudisha Mwanza. Nini kazi ya TMA kushindwa ku update na kulisababishia Shirika hasara ya mafuta na Abiria mda wao kwa gharama. TMA Mwanza wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa

Asante kyoma kwa kutuhabarisha kuwa leo umesafiri kwa ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wanaJF mmeonyesha sura halisi za GT maaana siyo kwa majibu mlimpa huyu Nshomile
 
Katika hali isiyotarajiwa Abiria wa ATCL tuliokuwa tunasafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba asbh ya leo Tarehe 22/02/2020 imeshindwa kutua Bukoba kwa sababu ya kilichosemwa na Rubani Mkuu kuwa ni hali ya hewa. Rubani aliamua kuturudisha Mwanza. Nini kazi ya TMA kushindwa ku update na kulisababishia Shirika hasara ya mafuta na Abiria mda wao kwa gharama. TMA Mwanza wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe huu

Sent using Jamii Forums mobile app
TMA NDIO WANACHAFUA HALI YA HEWA??!
AISEE.. RUBANI ANAPOONDOKA ANAPEWA DOCS ZOTE IKIWEMO YA HALIYAHEWA..
ANAPOPITA HUKO JUU KAMA KUKOSAWA ANAPEWA GO AHEAD ANAPOKARIBIA KUTUA HIWASILIANNA NA TOWER AMBAO WAO NDIO WANAJUA UHALISIA WAKIMWAMBIA HALIYAJEW AN MBAYA WANASHAURIANA ANA KIASI GAN CHA MAFUTA..WANANGALIA ALTN AIRPORT YA KARIBU NA KWENDA KUTUA

UNASEMEA HIO WANAUMME TULIKUWA TUTUE SUDAN TUNNAKARIBIA KUMBE TOWER ILISHATEKWA NA WAH.. UKIOMBA RUKSA WAKASEMA HARAKA TUNASHAIRI MWELEKEE EBB BILA KUSITA ACHA KABISA NGOMA IKAENDA SHUKA EBB.. TUKAENDA KWA MAGARIMPAKA SUDAN HUKO UNAFIKA SEHEMU MNASIMAMISHWA MKIFIKIA IDADI ZINAKJJA GARIZAKESHI ZAKIVITA OOHZINAWAONGOZA MNAPEWA NA REDIO CALL LIKILIPUKA MNASIKIA WANAWAPELEKA. MPAKA NDAN SUDAN WANAGEUKA.... SEMBUSE KURUDI.. MWANZA WARUDI TU
 
Lakini kwa kweli kuna tatizo kubwa la uelewa wa mambo kwa baadhi yetu.
Ndege inashindwa kutua halafu mtu anailaumu TMA!!
MAMBO YA UTABIRI NI MAJALIWA TU.
 
Lakini kwa kweli kuna tatizo kubwa la uelewa wa mambo kwa baadhi yetu.
Ndege inashindwa kutua halafu mtu anailaumu TMA!!
MAMBO YA UTABIRI NI MAJALIWA TU.
SI MBAYA MKUU KUELIMISHANA WOTE TUNGEKUWA WAGANGA WAKIENYEJI HOSPT ANGEENDA NANI
 
Katika hali isiyotarajiwa Abiria wa ATCL tuliokuwa tunasafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba asbh ya leo Tarehe 22/02/2020 imeshindwa kutua Bukoba kwa sababu ya kilichosemwa na Rubani Mkuu kuwa ni hali ya hewa. Rubani aliamua kuturudisha Mwanza. Nini kazi ya TMA kushindwa ku update na kulisababishia Shirika hasara ya mafuta na Abiria mda wao kwa gharama. TMA Mwanza wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi japo nimekasirishwa na mada shutuma zako lakini nadhani tatizo lako ni elimu hivyo unahitaji kuelimishwa. Nadhani shutuma zako zinalenga kuwa TMA walitakiwa kutabiri mapema kuwa hali ya hewa itakuwa mbaya hivyo ndege isiende! Kama nimepatia basi mambo siyo yalivyo plain ndugu yangu. Kwanza nianze kwa kukujulisha kuwa ndege kwenda uwanja fulani na kushindwa kutua kwa sababu ya hali ya hewa ni jambo la kawaida na hutokea sehemu nyingi duaniani. Ni hivi: Kama unavyoitwa ''utabiri'', utabiri wa hali ya hewa siyo kitu ambacho kiko 100% correct. Uwanja fulani unaweza kuwa na hali ya hewa nzuri kabisa kwa ndege kutua sasa hivi lakini baada ya dakika kumi hali ikabadilika na kukawa na kimbunga/hali mbaya inayofanya ndege kushindwa kutua.
 
TMA NDIO WANACHAFUA HALI YA HEWA??!
AISEE.. RUBANI ANAPOONDOKA ANAPEWA DOCS ZOTE IKIWEMO YA HALIYAHEWA..
ANAPOPITA HUKO JUU KAMA KUKOSAWA ANAPEWA GO AHEAD ANAPOKARIBIA KUTUA HIWASILIANNA NA TOWER AMBAO WAO NDIO WANAJUA UHALISIA WAKIMWAMBIA HALIYAJEW AN MBAYA WANASHAURIANA ANA KIASI GAN CHA MAFUTA..WANANGALIA ALTN AIRPORT YA KARIBU NA KWENDA KUTUA

UNASEMEA HIO WANAUMME TULIKUWA TUTUE SUDAN TUNNAKARIBIA KUMBE TOWER ILISHATEKWA NA WAH.. UKIOMBA RUKSA WAKASEMA HARAKA TUNASHAIRI MWELEKEE EBB BILA KUSITA ACHA KABISA NGOMA IKAENDA SHUKA EBB.. TUKAENDA KWA MAGARIMPAKA SUDAN HUKO UNAFIKA SEHEMU MNASIMAMISHWA MKIFIKIA IDADI ZINAKJJA GARIZAKESHI ZAKIVITA OOHZINAWAONGOZA MNAPEWA NA REDIO CALL LIKILIPUKA MNASIKIA WANAWAPELEKA. MPAKA NDAN SUDAN WANAGEUKA.... SEMBUSE KURUDI.. MWANZA WARUDI TU
Umeongea nini mkuu. Hivi unajua nimecheka sana, yani naona kama mashairi haya
 
Back
Top Bottom