TMA huu ni uzembe au bahati mbaya? Q400 yashindwa kutua Bukoba

Ndiyo maana kuna waganga wanaitwa watabili wa Nyota,Utabiri wa hali ya hewa,kwa hiyo huo unabaki kuwa Utabiri tu.
 
Katika hali isiyotarajiwa Abiria wa ATCL tuliokuwa tunasafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba asubuhi ya leo Tarehe 22/02/2020 imeshindwa kutua Bukoba kwa sababu ya kilichosemwa na Rubani Mkuu kuwa ni hali ya hewa. Rubani aliamua kuturudisha Mwanza.

Nini kazi ya TMA kushindwa ku update na kulisababishia Shirika hasara ya mafuta na Abiria muda wao kwa gharama. TMA Mwanza wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui maana ya UTABIRI?
 
Hamna namna hapo jitahidi uwahi buzuruga kabla ya Frester, Isamilo and the like hazijaisha aisee,, Hii inaleta hali ya ufikirishi kidogo maana yake hiyo airport/airstrip ya Bukoba haina kitengo cha hali ya hewa? Ila Rubani angewafanyia wepesi mshukie hata hapo Burigi Chato mbugani mpate na utalii wa bure.
Mwanza-Bukoba kwa Q-400 ni dkk 15 kwa bus masaa 10 mpaka 12. Asubirie tu hali ya hewa ikae safi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom