sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Sina imani na hii inayoitwa mamlaka ya hali ya hewa, mlitabiri majuzi tu ya kuwa kutakuwa na mvua nyiiingi hivyo mkatoa tahadhari kwa watu waliojenga mabondeni, MLICHOKITABIRI HAKIKUONEANA ZAIDI YA WANANCHI KUVUNJIWA NYUMBA ZAO, sina imani na lolote mnalotabiri ni uzushi na uongo.