TLS ya sasa ina sura ya tawi la chama cha siasa

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,091
1,404
With due respect, kila mtu mwenye akili timamu anajua pasi na shaka ya kwamba TLS ya sasa ni tawi la chama cha siasa mojawapo hapa TZ. TLS hii hii imeacha kushughulikia WELLFARE za wanachama wake ambao wanachangamoto nyingi(annual fees kubwa kuliko uhalisia,hakuna bima,hakuna social security membership), sasa imekuwa ni MDOMO wa chama cha siasa. This is unprecedented.

Ajenda zote zilizotolewa na chama cha siasa BUNGENI na zikashindikana: sasa TLS imezibeba kwa nguvu zote na kwa gharama ya hali ya juu na kuweka mikakati ya kuzidai kupitia MAHAKAMA. Ni copy and paste.

TLS ikumbuke ya kwamba Code of Ethics zao zinawataka wawe "impartial" muda wote(TLS Code of conduct and Ettiquette rules). Kwa msingi huo TLS imeiacha barabara kuu na kuingia kwenye mchepuko.

Such misconduct should not be left to prevail. Ni busara ya wakati kuwa TLS IFUTWE kisheria na bunge, kwasababu TLS Act inapingana kabisa na nia,makusudio,matamanio, matendo na mikakati ya TLS sasa. I have very serious doubt on the unfolding strategies of the current TLS leadership.
 
TLS, Law Society, inaenda kudai haki mahakamani unakasirika kwamba ni tawi la Chama. Unakasirika kwakua aliyekiuka ni mtu ambaye mnashare interest.

Tukubaliane kua sheria ni msumeno, kama leo unakata upande A basi tusubiri tuone tukifika upande B itakuaje.

Raisi wa Tanzania ameshindwa kuonyesha kua sheria ni msumeno anakata upande mmoja tu ukihitajika upande mwingine anakimbiza makali. Ngoja tuone Raisi wa TLS yeye kwake itakuaje.
 
Akili za Lumumba huwa hazifichiki. Yaani unalaumu TLS kwa kutaka watu wote katika nchi hii watendewe kwa usawa mbele ya sheria???

Yaani ukiwa mwanalumumba na akili za kawaida tu zinaisha. Unataka TLS iwe impartial ,toka lini kudai haki kwa mujibu wa sheria ni kuwa partial??
 
Mleta mada kwa taarifa yako zaidi ya nusu ya watanzania wametambua uwepo wake miezi michache iliyopita. Sasa kama kuwa na taswira ya chama fulani ndio imesababisha tuijue bora iwe hivyo kwani ikikosa hiyo taaswira tusingeifahamu. Je hicho kilichokukwazwa mpaka ukaamua kuleta uzi kimekiuka chochote kuhusu uwepo wake?
 
hivyo ndivyo mlivyofundishwa na kuzoeshwa kuwa kila chombo kinachohoji serikali ni upinzani na wanasiasa,mmezoeshwa kuamini kuwa anaepingana na serikali ya kibadhilifu ni mwanasiasa anaedai haki za kisheria ni mwanasiasa.
huu ni ujinga na ndio mteremko wanaopata wanaokandamiza haki za wananchi za kisheria
mtu yeyote anaweza kuishtaki serikali na kudai haki mahakamani, muishukuru sana TLS inafanya hio kazi kwa sababu watz ni mazombi wasiojitambua wala kujua haki zao ni zipi,watz ni watu wanaodhani wametawaliwa na sio kujitawala
 
With due respect, kila mtu mwenye akili timamu anajua pasi na shaka ya kwamba TLS ya sasa ni tawi la chama cha siasa mojawapo hapa TZ. TLS hii hii imeacha kushughulikia WELLFARE za wanachama wake ambao wanachangamoto nyingi, sasa imekuwa ni MDOMO wa chama cha siasa. This is unprecedented.

Ajenda zote zilizotolewa na chama cha siasa BUNGENI na zikashindikana: sasa TLS imezibeba kwa nguvu zote na kwa gharama ya hali ya juu na kuweka mikakati ya kuzidai kupitia MAHAKAMA. Ni copy and paste.

TLS ikumbuke ya kwamba Code of Ethics zao zinawataka wawe "impartial" muda wote(TLS Code of conduct and Ettiquette rules). Kwa msingi huo TLS imeiacha barabara kuu na kuingia kwenye mchepuko.

Such misconduct should not be left to prevail. Ni busara ya wakati kuwa TLS ifutwe kisheria na bunge, kwasababu TLS Act inapingana kabisa na nia,makusudio,matamanio, matendo na mikakati ya TLS sasa. I have very serious doubt on the unfolding strategies of the current TLS leadership.
Kipi kilichofanyika niko kinyume na kazi zake na je yeye yuko sawa kwa ubaguzi anaoufanya juu ya wanachi kweni nchi hii ni ya ccm tu wengine hawana haki?mambo ma ngapi yanafanyika kinyume kabisa na utawala wa kidemokrasia leo unafukuza eti wafanyakazi hewa waliokaa karibu awamu zote harafu unatengeneza kigezo cha kumlinda bashite kwa kisingizio cha cheo cha kisiasa!! Kweni mtu muongo sio tatizo?
 
Akili za Lumumba huwa hazifichiki. Yaani unalaumu TLS kwa kutaka watu wote katika nchi hii watendewe kwa usawa mbele ya sheria???

Yaani ukiwa mwanalumumba na akili za kawaida tu zinaisha. Unataka TLS iwe impartial ,toka lini kudai haki kwa mujibu wa sheria ni kuwa partial??
Hao mtenda haki ni mwenye makosa ila ukiwa com chochote utendacho?no sawa kama hata kuna bashite sawa
 
Kipi kilichofanyika niko kinyume na kazi zake na je yeye yuko sawa kwa ubaguzi anaoufanya juu ya wanachi kweni nchi hii ni ya ccm tu wengine hawana haki?mambo ma ngapi yanafanyika kinyume kabisa na utawala wa kidemokrasia leo unafukuza eti wafanyakazi hewa waliokaa karibu awamu zote harafu unatengeneza kigezo cha kumlinda bashite kwa kisingizio cha cheo cha kisiasa!! Kweni mtu muongo sio tatizo?toa upumbavu wako hapa mjinga kabisa ww.
Waliozoea kulamba na kufunga viatu vya watawala wanakera sana. Hiki chama kinatetea waliodhulumiwa haki zao halafu anakuja bwege moja anaeishi kwa upambe na kudai TLS kifutwe ?!.

Hebu elimu zetu ziikomboe nchi hii na si kutumia elimu zetu ki upambe !! Mleta mada ni mpuuzi na apuuzwe.
 
With due respect, kila mtu mwenye akili timamu anajua pasi na shaka ya kwamba TLS ya sasa ni tawi la chama cha siasa mojawapo hapa TZ. TLS hii hii imeacha kushughulikia WELLFARE za wanachama wake ambao wanachangamoto nyingi, sasa imekuwa ni MDOMO wa chama cha siasa. This is unprecedented.

Ajenda zote zilizotolewa na chama cha siasa BUNGENI na zikashindikana: sasa TLS imezibeba kwa nguvu zote na kwa gharama ya hali ya juu na kuweka mikakati ya kuzidai kupitia MAHAKAMA. Ni copy and paste.

TLS ikumbuke ya kwamba Code of Ethics zao zinawataka wawe "impartial" muda wote(TLS Code of conduct and Ettiquette rules). Kwa msingi huo TLS imeiacha barabara kuu na kuingia kwenye mchepuko.

Such misconduct should not be left to prevail. Ni busara ya wakati kuwa TLS ifutwe kisheria na bunge, kwasababu TLS Act inapingana kabisa na nia,makusudio,matamanio, matendo na mikakati ya TLS sasa. I have very serious doubt on the unfolding strategies of the current TLS leadership.
Unataka serikali iachwe iendelee kuchakachua Sheria?,na Mahakama iwe kichaka cha Kujificha?, BASHITE(0%) Atawadhalilisha Sana.
 
Back
Top Bottom