General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Mwenyekiti wa TLS Ndugu Tundu Lissu tunakuomba utusaidie kupeleka shauri mahakamani kuondoa kato la 15% ya bodi ya mikopo (HELSB) ambalo tumeanza kukatwa tangu february.
Kisheria sheria hii ilipaswa kutekelezwa kwa wale ambao wataajiriwa baada ya sheria hii, lkn cha kushangaza imewahukumu hata wale ambao waliingia mkataba wa makato ya 8%.
Tunakuomba Mwenyekiti mpya wa TLS mpeleke shauri hili mahakaman ili haki itendeke.