King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,604
- 68,504
Wezi wa kura wanakatika mmoja mmoja.Masikini!
Ndio maana kila ukifika uchaguzi tunawagonga
Wezi wa kura wanakatika mmoja mmoja.Masikini!
Ndio maana kila ukifika uchaguzi tunawagonga
AiseeWezi wa kura wanakatika mmoja mmoja.
kajifunze kutafsiri sheria, acha kubwabwaja na kubishana na wabobezi!Sawa.
Lakini hakuna mahali panaposema waziwazi kuwa rais mpya akila kiapo basi baraza zima la mawaziri nalo linavunjika, siyo?
Umenielewa?
Kutafsiri kuna mafunzo?kajifunze kutafsiri sheria, acha kubwabwaja na kubishana na wabobezi!
Ndio kichaka chenu hicho lakini hata 2025 tutawagonga tu na mtarudia kujificha kwenye kichaka cha kuibiwaWezi wa kura wanakatika mmoja mmoja.
Kumbe na wewe uliona.Hongereni TLS.
Nahisi ndio maana mh Rais alisita kidogo kumtaja majaliwa kama waziri mkuu wa Tz wakati anatoa heshima zake kwa viongozi wengine kabla ya hotuba yake kwa wananchi.
Yes niliona hii kituKumbe na wewe uliona.
Mama Samia alisita kidogo kutamka kama Waziri Mkuu.
Ndio kichaka chenu hicho lakini hata 2025 tutawagonga tu na mtarudia kujificha kwenye kichaka cha kuibiwa
Kwenye mazishi ya viongozi wa juu serikalini waziri mkuu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mazishi katibu wake ndiye katibu wa mazishi wajumbe ni waziri wa fedha wa bara na visiwani na baadhi ya mawaziri, hivyo kama katiba haiwatambui kama mawaziri na katiba hiyohiyo inawapa hayo majukumu ya kushughulika na maziko basi kwa upande huo katiba inahitaji marekebisho.TLS kwa mara ya kwanza nimeona mmetekeleza wajibu wenu wa kisheria kwenye nchi hii. Mawaziri wote ikiwemo waziri Mkuu inabidi waambiwe, na wasiendelee kutokea kwenye nafasi zao kwani kwa sasa hakuna baraza la mawaziri. Nimemuona Majaliwa akiendelea kutambulishwa kama waziri Mkuu, wakati kikatiba hana uhalali huo. Tungekuwa na vyombo vya habari vinavyotekeleza wajibu wao walipaswa kulitangaza hili wazi wazi kuwa kwa sasa hakuna baraza la mawaziri, na waziri yoyote aliyekuwa kwenye baraza lililopita asiendelee kuingia ofisini au kutumia mali za ofisi kama gari nk, wakati hana uhalali huo.
Kuna mmoja aliwahi kusema Katiba/Sheria inachelewesha maendeleo.Natumai katika jambo hili, Rais atafuata matakwa ya katiba
Ukisema hivyo basi atateuwa wote na serikali haitakuwepo including yeye mwenyewe.Wako sahihi, rais Samia anapaswa teua mpaka mwanashera mkuu wa serikali upya, bila kusahau katibu mkuu kiongozi...
Intepretation ndiyo inawasumbua hao TLSNatumai katika jambo hili, Rais atafuata matakwa ya katiba