TLS kazi yao nini, uwepo wa chombo hiki una manufaa gani kwa nchi?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa

1. Watanzania tuna matatizo gani, pesa zinazoitwa za serikali in zetu siyo za viongozi kwanini wanazitumia hovyo alafu sisi tupo kimya?

2. Wabunge ambao inasemekana ni wawakilishi wetu ambao wanaisimamia serikali,in wawakilishi ukweli au wapo kwa maslahi yao tu?

3. TLS kazi yao nini, uwepo wa chombo hiki unamanufaa gani kwa nchi? Maana nimeshawahi sikia kuwa huko kwa wenzetu, serikali ikishitakiwa na wakili binafsi au chombo kama TLS.

HII TLS IMELOGWA AU IMETIWA KOLOKOLONI NA WATAWALA?

Billions zimeliwa hivi hivi, alafu Marais wanakuja wanasema katiba mpya siyo kipaumbele changu, mwingine acheni nifufue uchumi.

Tuliambiwa Tanzania haikuathirika na anguko la uchumi kutokana na COVID kama nchi zingine sasa huo uchumi ulikufanye?

MUNGU TUSAIDIE
 
1630478375047.png
 
Back
Top Bottom