TLS: Kamati ya Maadili Haijahusika Kumuondoa Fatma Karume kwenye orodha ya Mawakili

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baraza la Uongozi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Tanzania Bara limesema kumuondoa Fatma Karume katika Rejista ya Mawakili ni uamuzi uliotolea na Kamati ya Mawakili na sio Kamati ya Maadili

TLS imesema ni kosa kuwahusisha Wajumbe wa Kamati ya Maadili katika uamuzi huo na kusambaza majina yao mitandaoni kwani Kamati hizo mbili zina Mamlaka tofauti

1600880335610.png

Pia soma:

>
Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

> Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)
 
View attachment 1578561

Mtajuwana wenyewe sisi tunawapongeza sana waliomvua uwakili huyu Dada alikuwa anaiabisha sana taaluma ya Uakili hapa Tanzania. Aende huko UK anakosema amesomea tuone kama atafika na kuanza kuwabeza hao mabeberu ili wamnyoshe kabisa.

Kamati ya Maadili inahusisha wajumbe 3 wafuatao:

1. Judge of the High Court.

2. Attorney General, Deputy Attorney General, or DPP.

3. Practicing Advocate.
Si alikuwa anawadharau walioshika mpini? Amebaki Lissu kila mara anawadharau Majaji eti hawakusoma dawa yake pia iko jikoni. Asipojirekebisha atapoteza uwakili abaki kuwa mgombea wa urais wa Saccos aliyeshindwa
 
Baraza la Uongozi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Tanzania Bara limesema kumuondoa Fatma Karume katika Rejista ya Mawakili ni uamuzi uliotolea na Kamati ya Mawakili na sio Kamati ya Maadili

TLS imesema ni kosa kuwahusisha Wajumbe wa Kamati ya Maadili katika uamuzi huo na kusambaza majina yao mitandaoni kwani Kamati hizo mbili zina Mamlaka tofauti

View attachment 1578561

Pia soma:

>
Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

> Fatma Karume asimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara kwa kosa la kuishambulia ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)
Wakili Msomi Nshala anapoeleza kamati zina mamlaka tofauti, bila kueleza hio kamati ya mawakili ina mamlaka ya kumuondoa wakili au la??
 
Back
Top Bottom