TLS: Chama ndani ya nchi isiyokuwepo

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,358
6,059
Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini.

Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo lipi ambalo kikatiba linatambulika?.

Msiseme nimeumizwa kwa Fatma Karume kushinda Uraisi wa TLS. Najihami mapema ohooo.
 
Ww ujui Tanganyika IPO wapi .ila watanganyika tunajua inchi yetu IPO na siku itafika tutapeana talaka tutabaki na Tanganyika yetu
 
Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini.

Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo lipi ambalo kikatiba linatambulika?.

Msiseme nimeumizwa kwa Fatma Karume kushinda Uraisi wa TLS. Najihami mapema ohooo.
Hilo la mwisho ndio lililopo kichwani mwako
 
MEDICAL COUNCIL OF TANGANYIKA ( MCT).
Baraza la Madaktari Tanganyika
 
Wewe nani kakwambia Tanganyika haipo?
Nyie ndo mlikuwa mnafaulu kwa kukariri.
Subiri tar 26.4 uka sherehekee muungano wa Pemba and Zimbabwe (in Mulugos' Voice)
 
Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini.

Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo lipi ambalo kikatiba linatambulika?.

Msiseme nimeumizwa kwa Fatma Karume kushinda Uraisi wa TLS. Najihami mapema ohooo.
Bila Tanganyika hautakuwa na Tan/Za, hata hivyo si jina haramu ndiyomaana ipo wilaya ya Tanganyika, ujue jina halina uhusiano na nchi kwani kuna watu wanaitwa Tanganyika hivyo nakushauri lete mada ya watu wazima na si ya watoto wa shule.
 
Usimtukane wala kumdharau usiyemjua/aliyeomba msaada. Ndugu yangu,tanganyika ipo. Ila linapokuja jambo la muungano tunakuwa ni TANZANIA. Wamejiita TLS kwasababu kula upande wa zanzibar wao wana ZLS. Ila kama ingekuwa taasisi ni moja tu basi tungetumia TANZANIA LAW SOCIETY. Ni hayo tu mheshimiwa!!.
 
Eli wewe ni mjeshi na mlinzi wetu waJMT nakushangaa kuuliza TANZANIA IKO WAPI? Hufai kuwa jwtz!
 
Usimtukane wala kumdharau usiyemjua/aliyeomba msaada. Ndugu yangu,tanganyika ipo. Ila linapokuja jambo la muungano tunakuwa ni TANZANIA. Wamejiita TLS kwasababu kula upande wa zanzibar wao wana ZLS. Ila kama ingekuwa taasisi ni moja tu basi tungetumia TANZANIA LAW SOCIETY. Ni hayo tu mheshimiwa!!.
Well but Tuna Zanzibar na Tanzania kama serikali mbili tu. Kwanini hawa jamaa hawajajiita Tanzania L.S. maana tuna serikali mbili. Inge sound zaidi kulingana na muundo wa Dola mbili?
Manake kuanzia kwenye muundo na political parties. Kuna wabunge wa Tanzania na wa Zanzibar. Na hawa wa Tanzania hawa operate Zanzibar.
Je kwa muundo huu, kuna haja ya kuweka serikali 3?
 
Mheshimiwa ukishasema tanzania maana yake ni tanganyika na zanzibar. Rejea kusoma UNION AND NON UNION MATTERS nadhani utapambanua vuzur zaid. Ila pia naona kama unanileta kwenye suala la serikali tatu hivi!!??? MI HUKO SIMOOOOOOO
 
Back
Top Bottom