TLP Update: Chama Cha Labour Tanzania kimempongeza Rais Magufuli JP kwa kuifikisha Tanzania kwenye Uchumi wa kati( MICs ) leo licha ya lengo kuwa 2025

Hongera Rais Magufuli na Serikali yako kutufikisha wananchi wako kwenye Kipato cha kati ( MICs ) kwa GNI per head kati ya $1,036 & $ 4,045,Lengo lilikuwa ni 2025 wewe umelifikia 2020,Hongera Benki ya Dunia kwa kusimamia ukweli.

Mzee wa kiraracha anapiga mzinga kimtindo hapa anajua kusifia kunalipa sana nji hii.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Uchumi wa kati FAKE, ajira hakuna, mapato ya wakulima yameanguka, export income are down for the last 3/4 years. Viwanda 8,477 vinavyodaiwa kujengwa na ajira 6 millions vyote ni FAKE na hiki chama cha TLP nacho ni FAKE PARTY.

Hongera Rais Magufuli na Serikali yako kutufikisha wananchi wako kwenye Kipato cha kati ( MICs ) kwa GNI per head kati ya $1,036 & $ 4,045,Lengo lilikuwa ni 2025 wewe umelifikia 2020,Hongera Benki ya Dunia kwa kusimamia ukweli.

Hongera Rais Magufuli na Serikali yako kutufikisha wananchi wako kwenye Kipato cha kati ( MICs ) kwa GNI per head kati ya $1,036 & $ 4,045,Lengo lilikuwa ni 2025 wewe umelifikia 2020,Hongera Benki ya Dunia kwa kusimamia ukweli.

Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
Natafuta kadi ya TLP niipate wapi?
 
Hivi "Lower middle Income" ndo "Uchumi wa kati"? Mimi na kidhungu wapi na wapi!??
Wao kamwe hawawezi sema kuwa ni uchumi wa kati wa chini!!! Wazee wa propaganda!!! Ktk miaka mitano wameongeza dola 30,toka 1060-1036!!,matangazo mengiii, eti tumewahi, wao walikusudia GNI, ya dola 3000!!hadi 2025!!hayo hawasemi ukweli huo!!
 
Hivi "Lower middle Income" ndo "Uchumi wa kati"? Mimi na kidhungu wapi na wapi!??

Mkuu, unaona mambo kama nilivoona mimi na huenda tuko sahihi au si sahihi. Ninaona middle income iko katika range ya $1090 na +4000. Hapo ndio kuna “lower, middle na upper”. Binafsi naona kuna ugumu sana hata wa kutoka hiyo lower kwenda middle. Middle inaweza kuwa +$2000 na kwa hakika itakuwa ngumu!! Binafsi ningependa kusikia kiasi halisi cha pato ni nini. Sio tu kuwa kwenye hiyo bracket!
 
Back
Top Bottom