TLP Update: Chama Cha Labour Tanzania kimempongeza Rais Magufuli JP kwa kuifikisha Tanzania kwenye Uchumi wa kati( MICs ) leo licha ya lengo kuwa 2025

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
1,002
523
Hongera Rais Magufuli na Serikali yako kutufikisha wananchi wako kwenye Kipato cha kati ( MICs ) kwa GNI per head kati ya $1,036 & $ 4,045,Lengo lilikuwa ni 2025 wewe umelifikia 2020,Hongera Benki ya Dunia kwa kusimamia ukweli.

TLP.JPG
 
KUPONGEZA NI JAMBO JEMA ILA KWA TLP MMEZIDI HADI MNAKUWA KAMA TAWI LA CCM SASA.MNAMALIZA BURE KODI ZA WANANCHI KWA VYAMA VYA KIPUUZI KAMA HIVI
 
Unategemea nini kutoka kwa Mrema Kama nae uwezo wa kufikiri ni Lower middle age!!
 
Hii ni picha ya leo ya choo cha walimu huko masasi .

View attachment 1494768
Ndio nini sasa hiki.........hiyo nigeria namba moja Afrika kwa uchumi .......mpaka leo kuna mtu hana hata sehemu ya kukaa.........kuna nyimbo harmonize kaimbia kule ........unaweza kusema palipigwa bomu........kubaya maji kira sehemu machafu mabanda mabanda ........lakini Davido kanunua ndege..........sasa hapa ulicho kisema ni nonsenses.........kwanza uko masasi kijijini anakujua nani??
 
Hawo TLP walikuwa wana wabunge wangapi kwenye Bunge lililopita?
 
Back
Top Bottom