Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Hawa wapuuzi na chama chao hata hawajui wanafanya nini?Stupid, katika shida za watanzania zinazosababishwa na Samia mmeona ni mbaazi tu! Rubbish!
Hawa wapuuzi na chama chao hata hawajui wanafanya nini?Stupid, katika shida za watanzania zinazosababishwa na Samia mmeona ni mbaazi tu! Rubbish!
TLP wanatafuta uteuzi wa Mwenyekiti waoNilikuwa natafuta ktk bandiko la jamaa kuona ni nini hasa SSH alifanya ambacho kimeongeza soko hilo. Inaonekana jamaa kama vile anashangilia kuwepo kwa SSH bila kusema kwa mfano ametafuta soko, amerejesha mawakala, au kaondoa vipingamizi nk.
Ninadhani mleta mada ana mahaba! Labda ni mdau wa mbaazi. Angenitupa mrejesho kuhusu pamba, korosho, mwani, kahawa nk ili tuone alichofanya pia.
Yaani ni wajinga haswaTLP Taifa - Kazi kweli kweli. Yaani TLP mnampa pongezi kwa bei ya mbaazi kupanda? Haya matozo, kodi, kubambikiwa makosa, wizi wa kura... hamyaoni kabisa? Yaani kumbe binadam mnaweza kufugwa na kutumika kama aina fulani ya wanyama? That is too low!
Hiyo chuki yako kwa Samia utakufanayo,Bado yupo Sana hadi 2030
Eti bwana hata wilaya siyo wote, halafu hili tutusa Mrema linaleta ujinga hapa. Ndiyo maana limeoza usoniKwanza wanaolima mbaazi sijui ni kijiwilaya tu😂😂😂
Umesahau kumwuliza kuhusu viazi mviringo kutoka tsh 45,000/= mpka tsh 12,000/=Barua ya Wazi kwa Mama Samia,
Dear Mama,
Shikamoo,
Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,
Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:
1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?
2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?
3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?
4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,
5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?
Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.
Asante,
Hihihihahahohohohuuuuuu akili za madarasa??Kwa akili zako za madresa unajua rais ndiye anapanga Bei ya mbaazi
USSR
Wewe unaolewa hapa unapata Nini au utaishia kama HamzaSafi rais Samia .
Ni ccm daima Lisu aendelee kuolewa tu huko Ulaya.
Kwenye mbaazi magu alihusika.Kwa akili zako za madresa unajua rais ndiye anapanga Bei ya mbaazi
USSR
Alishasema hana mpango wa kugombea. Wewe ni nani mpaka umlazimishie kura ambayo haitaki?Barua ya Wazi kwa Mama Samia,
Dear Mama,
Shikamoo,
Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,
Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:
1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?
2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?
3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?
4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,
5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?
Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.
Asante,
Alishasema hana mpango wa kugombea. Wewe ni nani mpaka umlazimishie kura ambayo haitaki?