TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,811
2,000
Petrol, vifaa vya ujenzi, nyama, tozo n.k zimepanda nyie mmeona mbaazi pekee? shame on you wapuuzi wakubwa nyie
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,811
2,000
Nilikuwa natafuta ktk bandiko la jamaa kuona ni nini hasa SSH alifanya ambacho kimeongeza soko hilo. Inaonekana jamaa kama vile anashangilia kuwepo kwa SSH bila kusema kwa mfano ametafuta soko, amerejesha mawakala, au kaondoa vipingamizi nk.

Ninadhani mleta mada ana mahaba! Labda ni mdau wa mbaazi. Angenitupa mrejesho kuhusu pamba, korosho, mwani, kahawa nk ili tuone alichofanya pia.
TLP wanatafuta uteuzi wa Mwenyekiti wao
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,811
2,000
TLP Taifa - Kazi kweli kweli. Yaani TLP mnampa pongezi kwa bei ya mbaazi kupanda? Haya matozo, kodi, kubambikiwa makosa, wizi wa kura... hamyaoni kabisa? Yaani kumbe binadam mnaweza kufugwa na kutumika kama aina fulani ya wanyama? That is too low!
Yaani ni wajinga haswa
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,707
2,000
Barua ya Wazi kwa Mama Samia,

Dear Mama,

Shikamoo,

Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,

Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:

1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?

2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?

3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?

4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,

5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?

Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.

Asante,
Umesahau kumwuliza kuhusu viazi mviringo kutoka tsh 45,000/= mpka tsh 12,000/=
 
VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
597
1,000
Wright,

Sisi huku BUKOBA Kahawa ilikuwa buku tena kwa Mkopo,

Kuna jamaa kaibuka hapa anunua kahawa kwa Tsh 1500 Cash

Bashiru pamoja nakuwa alitoka huku alishindwa kutusaidia hata kwenye Kahawa tu, Leo Mzanzibar amekuja kututetea,

Mimi nitamwombea kila Siku huyu Mama anahuruma sana kwa Wananchi wake,

Kura yangu unayo Samia mwaka 2025
 
mzeempili

JF-Expert Member
Aug 16, 2021
327
1,000
Barua ya Wazi kwa Mama Samia,

Dear Mama,

Shikamoo,

Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,

Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:

1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?

2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?

3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?

4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,

5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?

Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.

Asante,
Alishasema hana mpango wa kugombea. Wewe ni nani mpaka umlazimishie kura ambayo haitaki?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom