Tizama uchumi unavyokuwa toka awamu ya Nyerere hadi Magufuli, CCM wako vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tizama uchumi unavyokuwa toka awamu ya Nyerere hadi Magufuli, CCM wako vizuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Apr 21, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,919
  Likes Received: 11,583
  Trophy Points: 280
  FB_IMG_1492774850646.jpg
   
 2. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 2,612
  Trophy Points: 280
  Exchange ya Tsh 2200 kwa $1 ingekuwa ni faida kwetu kama tungekuwa na vitu vya kuuza nje.

  Wakati mwingine benki kuu inaweza ikashusha thamani ya fedha ili kuhamasisha wanunuzi wa kigeni kununua bidhaa kwa wingi (purposefully the centeral bank decides to depreciate the currency to boost exportation)
   
 3. 9

  999 JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 2,235
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Tuko vizuri na sasa tuna viwanda 52,000
   
 4. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 16,251
  Likes Received: 15,149
  Trophy Points: 280

  Hauna Akili! Hakuna kielelezo chochote kinachoonyesha ukuaji au usinyaaji wa Uchumi kwenye hicho ulichokiweka, kwa taarifa yako tu wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna ukuaji wa Uchumi, tulikuwa na minus economic growth, Uchumi wetu umeanza kukuwa wkt wa Mwinyi!
   
 5. samurai

  samurai JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 4,367
  Likes Received: 4,382
  Trophy Points: 280
  Kifupi ni kwamba USD ilianza kupanda thamani toka nchi ilivyoanza kutawaliwa na mtu mweusi..tutaweza tu kuzuia USD isipande siku nchi ikitawali na Mzungu..
   
 6. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,577
  Likes Received: 2,349
  Trophy Points: 280
  Upinzani punguzeni propaganda zisizo na msingi, thamani ya sarafu sio kigezo cha kukua kwa uchumi. Tsh 500 ni sawa na 7,000 ya pesa ya Iran lakini TZ haigusi iran kwa uchumi.
   
 7. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 26,400
  Likes Received: 17,583
  Trophy Points: 280
  Imeshafika Tzs.2343 kununua $1
   
 8. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 26,400
  Likes Received: 17,583
  Trophy Points: 280
  Katika watu wasiotumia ubongo wao vizuri ni wewe.Enzi za JKN Taifa lilikuwa na Viwanda vya nguo,viatu,ngozi,nyama,maziwa,matairi.

  Kulikuwa na bank ya nyumba,NBC,Bank ya ushirika,RTC,NIC,State Travelling corp..............duh leo tuna kitu gani??

  Tuanshindwa hata kutengeneza wembe.kama hujui sema hujui uelimishwe.
   
 9. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 13,582
  Likes Received: 5,533
  Trophy Points: 280
  Kwa trend hii, kama CCM wakiendelea kuwepo madarakani, mwaka 2025, USD 1 itakuwa sawa na TZS 4,000!!
   
 10. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 16,251
  Likes Received: 15,149
  Trophy Points: 280

  Lakini tulikuwa na minus economic growth kwa kipindi chote, na masikini walikuwa wengi kuliko kipindi chochote ktk Historia ya Tanzania, Tanzania yetu imeanza kukua Kiuchumi kipindi cha Mzee Mwinyi, ndiyo tukaanza kuwa na positive economic growth ambayo imeendelea mpaka leo hii!
   
 11. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 26,400
  Likes Received: 17,583
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha minus economy ni uongo leo BOP yetu iko ngapi??Unajua hakuna kitu huko?Sasa usianze kupiga makelele mengi wakati Mkapa mpaka JPM wote ni wezi tu
   
 12. kivava

  kivava JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 2, 2013
  Messages: 5,475
  Likes Received: 4,132
  Trophy Points: 280
  Usiongee kibashite bashite tangu tulipopata Uhuru mpaka vita vya Idd Amin uchumi ulikuwa unakuwa kila mwaka.Miaka hiyo aliweza kujenga viwanda,vufuo umeme,kutoa matibabu na elimu bila malipo.Kukua huko kwa uchumi kiliwezesha kuajiriwa kila muhitimu wa kuanzia kidato cha nne.
  Unawezeje kufananisha na uhabithi na komedi ya 7% unaondelea sasa?
   
 13. Cicero

  Cicero JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 20, 2016
  Messages: 2,286
  Likes Received: 2,010
  Trophy Points: 280
  The key words ni "KAMA TUNGEKUWA"
  But sadly we have a HUGE trade deficit
   
 14. samurai

  samurai JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 4,367
  Likes Received: 4,382
  Trophy Points: 280
  inaonyesha toka uhuru shillingi yetu haijawahi kuwa stable dhidi ya USD, na kwa hiyo trend ilivyo inaonyesha kabisa tukiendelea kutawaliwa na akili hizi hizi za toka uhuru chini ya chama hiki hiki toka uhuru itafika siku USD 1 tutabadirisha kwa TSH1000000,...

  Mabadiriko yanayotokea kwa upande wetu kama taifa yamekuja na yatakuja kwa sababu ya maendeleo ya dunia, na hii inatokea na itaendelea kutokea kwasababu kuna watu wengine katika mataifa mengine wanaendelea kutumia akili kuiletea maendeleo dunia, Serikali ya CCM imeshindwa kuifikisha tanzania ilipotakiwa kufika na kuwawezesha watu wake kuwa na mchango kwenye maendeleo ya dunia na maendeleo ya taifa lao.
   
 15. T

  Tabby JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2017
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 10,200
  Likes Received: 6,146
  Trophy Points: 280
  Ebu rudia tena!
   
 16. M

  MUHEKA PANGENDE JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 30, 2014
  Messages: 283
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Uhalisia hakuna pesa mfuko,maisha ya watz yamekuwa ya mashaka matupu.Jifariji ili siku zisogee.
   
 17. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2017
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 3,388
  Trophy Points: 280
  katika mchanganuo huohuo tuambie kwanini shilingi ya mtanzania iko kama kigagula cha mganga,kwanini 500 ya bongo ni elfu saba ya iran nawakati huo Iran ni more advanced kushimda bongo,pili usd1 ni 2200 na wakati huo marekani ni mteule katika maisha ya watanzania tunaomba maelezo yasiyo na propaganda
   
 18. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 16,251
  Likes Received: 15,149
  Trophy Points: 280

  Huo ni Uongo, Uchumi wa Tanzania ulikuwa na minus growth kipindi chote cha Mlm.Nyerere, na ndiyo sababu ya pia kujiuzulu kwa sababu ya kushindwa kwa Sera zake za Kiuchumi!

  Kuna tofauti kubwa sana ya maisha yetu kwa sasa ukilinganisha n wakati wa Mlm.Nyerere, sasa hivi maisha yameboreak kwa kiwango kikubwa sana, Watanzania wanaishi chini ya Dola moja kwa siku wamepungua sana!
   
 19. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 16,251
  Likes Received: 15,149
  Trophy Points: 280

  BOP ndiyo nini kwanza?
   
 20. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,630
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kama unavyo viwanda vingi vinavyo weza ku meet mahitaji ya wananchi wako then hapo hata kama thamani ya pesa yako v/s dola ikiwa kubwa sio big deal. Mifano ipo mingi, wewe umetolea huo wa Iran but kuna China, Italy nk. Nchi ikiwa inaagiza karibu kila kitu nje ya nchi na pesa yako ikiwa chini sana dhidi ya dola hilo ni janga. Nitolee mfano mmoja; say shati ulilovaa sasa hivi linauza dola 5 huko liliko nunuliwa, kama Dola 1=Tsh 1500 maanake mfanyabiashara ili alilete Tanzania anihitaji 5x1500=7500, hiyo ndio gharama ya hilo shati (assuming other factors kama usafiri nk ziwe humo humo kwenye hiyo Dola 5) so ili apate faida may be ya Tsh 1000 maanake atauza kwa Tsh 8500/= so bei ya hilo shati kwako wewe ni hiyo pesa, but now Dola 1=Tsh 2200 na bei ya hilo shati ni hiyo hiyo Dola 5 then it means huyo Mangi atatakiwa this time afanye hivi, 5x2200=11,000 Kwa faida ile ile ya Tsh 1000 ina maana mangi ataliuza shati hilo kwa Tsh 12,000. Lakini kama tunavyo viwanda vyetu then kununua kitu kama shati nje ya nchi, hiyo ni anasa. Na ndio maana wenzetu kama China, India, (Irani niitoe kwa hapa and then will explain later why) wameshusha thamani ya pesa yao ili vyao vinunuliwe na wananchi wao.
  Iran pamoja na kufanya hao but again imejiwekea utaratibu hu; zile nchi wanazofanyiana biashara ya mara kwa mara kama India, wamekubaliana kutumia pesa zao wenyewe, yaani India akinunua mafuta from Iran anatumia Rupia yake na wala sio Dola wala Pound wala Euro and then na Iran akitaka kununua chochote from India anatumia pesa yake na maisha yanasonga hivyo. Si ajabu ukienda Iran leo na dola zako utajikuta unapata shida sana ya kuibadiri, why? To them Dola is not one of their currency.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...