LIKUD huyo ni nani hapa dunian?
ahsante ila nimeshajibiwa na ambaye nilikuwa namuuliza.Tiwa savage
Tiwa Savage ni mwanamuziki maarufu wa afro pop. Ni mnigeria anayefanya shughuli zake za muziki Nigeria na Marekani.
Alafu bikin sijui ya kitenge
watu kwa kufuatilia lo!, mpaka material ya bikin du!