muulize bosi wako bana!!Ndiyo nini hii?
Huyo m2 anatakiwa akajilipulie pale magogoni,co ajilipulie huku aue wa2 wasio na hatia.
Inadaiwa ni mwanamme amevaa hijabu kama mwanamke na begi la bomu.polisi wamezunguka jengo
Kwa nini usiende wewe huko magogoni?
huyo sio mlipuaji, muda wote huo anasubiri nini, wenye kazi zao saa hizi washamaliza zamaaani, kama yupo anatishia nyau au ni jamaa tu katoka kununua viazi sokoni boma nyie mwamwita gaidi...
Atakuwa CHADEMA kasahau maelekezo anafikiri kaisha fika Igunga.
eleza kwa nn isiwe wewe.Kwa nini usiende wewe huko magogoni?