Tishio la mlipua mabomu Ilala, Dar es Salaam

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
843
Nikiwa nafatilia hati hapa manispaa ya ilala ghafla polisi wakiwa na magari na pikipiki wanafika nakuondoa wafanyakazi na waliomo kwa taarifa za kiinteligensia kuna mtu anataka kujilipua na mabomu
 
mmmmh makubwa hayo, wameanza na huku bongo!!!! lakin mungu saidia
 
ni nini kinaendelea hapo? bado siamini amini kama ni Tanzania yetu. Au wazee wa kazi wanataka onyesha kwamba wanafanya kazi ya kiintellegensia ipasavyo?
 
Inadaiwa ni mwanamme amevaa hijabu kama mwanamke na begi la bomu.polisi wamezunguka jengo

huyo sio mlipuaji, muda wote huo anasubiri nini, wenye kazi zao saa hizi washamaliza zamaaani, kama yupo anatishia nyau au ni jamaa tu katoka kununua viazi sokoni boma nyie mwamwita gaidi...
 
Labda kwa sababu walikataliwa kuanzisha........!
Ah! Sitaki kuamini hili, labda nisubiri kiduchu.
 
Askari wanadai ni mwanafunzi wa temeke,wengine dume limevaa kike
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom