Tips to recognize fake iphones;

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,843
48,870
This can little bit help you usiibiwe:

-All iPhone models have capacitive touchscreens – these screens react only to materials that can conduct
electricity, such as your finger. A stylus made of plastic or metal will not work with them.
-None of the iPhone models have an expansion card slot that will accommodate a microSD or other type of
card to increase its storage capacity.
-All iPhone models have both Bluetooth and Wi-Fi radios. None of the iPhone models have an FM radio built in (technically, a tear-down of the iPhone 3GS by iSuppli shows that it has a chip with FM radio capabilities, but it is not active).
-The battery in all iPhone models is not user-replaceable.
-All iPhone models only have one SIM card slot.
-None of the iPhone models come in red, blue, yellow, or any other color aside from black or white.

Anymore please? Pamoja.
 
Hivi kwani hakuna njia nyingine kama ya code number kutambua simu fake kama ilivyo kwa NOKIA unabonyeza *#0000# inakupa details zake? wakati kwa NOKIA feki ukibonyeza hizo code inabaki inakushangaa tu, hivyo inakuwa rahisi kujua ni fake au original.
 
This can little bit help you usiibiwe:

-All iPhone models have capacitive touchscreens – these screens react only to materials that can conduct
electricity, such as your finger. A stylus made of plastic or metal will not work with them.
-None of the iPhone models have an expansion card slot that will accommodate a microSD or other type of
card to increase its storage capacity.
-All iPhone models have both Bluetooth and Wi-Fi radios. None of the iPhone models have an FM radio built in (technically, a tear-down of the iPhone 3GS by iSuppli shows that it has a chip with FM radio capabilities, but it is not active).
-The battery in all iPhone models is not user-replaceable.
-All iPhone models only have one SIM card slot.
-None of the iPhone models come in red, blue, yellow, or any other color aside from black or white.

Anymore please? Pamoja.

kuna mmoja ambaye huchukua simu dubai na china hz fake, aliniambia kuwa fake iphone ukiiunga kwa nyenye net inazima hii inatokana na data base ya apple kuwa configured ku-detect fake one ambayo kimsingi inakuwa haitambuliki kwenye system zao!

so ukinunua jaribu kuunga net muda mfupi tu baada ya kuunga hy net ukiingia kwenye browser ina direct apple store na hapo hapo kama ni fake inazima kabisa na huo ndio mwisho wa hy simu!
 
"blackbely" siijui ni kitu gani mie mshamba wa Bigwa, seuze kuweza kuinunua.

Kwani "blackbely" ndo kitu gani?

Ha..ha..ha devices mpya zinagunduliwa halafu mimi sijawahi hata kuzisikia kweli siko well informed.
 
Duh,

Watu bado wanatumia iphones tu?
Una uwezo wa kununua wewe blackbely@kiranga
Sio level yako kutumia I phone
wewe una wazimu ehh, kuna simu yenye bei zaidi ya iPhone? acha iphone 5 na 4s, hiyo iphone 4 ya 32gb mpya dukani hakuna blackberry yenye bei kiasi hicho! kwanza blackberry sio smartphone, labda muiite messenger phone maana hakuna cha ziada ukiacha hiyo bbm, simu haufanyi customization yeyote ipo kishamba mwanzo mwisho! sijaona blackberry yeyote inayofaa kuuzwa hata laki mbili,,
 
wewe una wazimu ehh, kuna simu yenye bei zaidi ya iPhone? acha iphone 5 na 4s, hiyo iphone 4 ya 32gb mpya dukani hakuna blackberry yenye bei kiasi hicho! kwanza blackberry sio smartphone, labda muiite messenger phone maana hakuna cha ziada ukiacha hiyo bbm, simu haufanyi customization yeyote ipo kishamba mwanzo mwisho! sijaona blackberry yeyote inayofaakuuzwau hata laki mbili,,
. Umeua Mkuu! Binafsi natumia iPhone but nafikiri umeishusha sana hadhi blackberry! Though for me iPhone ni mwishi wa matatizo...
 
Ila kweli kaka, ukiangalia BlackBerry sijui utainunua ili ufanyeje, maana internet ipo slow si mchezo juzi juzi tu ndo wametengeneza simu za 3g, menu yake ipo kama ulivyoinunua haina customization yeyote wakati kwenye iphone unaJailbreak unafanya simu namna unavyotaka, internet eti mpaka ujiunge na package zao wakati watu hata sh. 50 tuanaLoad JF bila shida, camera kama ya nokia za zamani, games ni kama hakuna yaani, full kuidhulumu nafsi!!!watu tunakamua games za HD!!najaribu kufkiria ninunue blackberry kwaajili ya kitu gani sipati jibu,,
 
wewe una wazimu ehh, kuna simu yenye bei zaidi ya iPhone? acha iphone 5 na 4s, hiyo iphone 4 ya 32gb mpya dukani hakuna blackberry yenye bei kiasi hicho! kwanza blackberry sio smartphone, labda muiite messenger phone maana hakuna cha ziada ukiacha hiyo bbm, simu haufanyi customization yeyote ipo kishamba mwanzo mwisho! sijaona blackberry yeyote inayofaa kuuzwa hata laki mbili,,

Duh,

Watu wako katika zama za "if it's not iPhone, it must be blackberry" bado?

Halafu wao guiding principle ya kitu kizuri ni bei!
 
-None of the iPhone models have an expansion card slot that will accommodate a microSD or other type of
card to increase its storage capacity.

Bwehehehehe!
 
Nani kataja Blackberry? What's next, HAL 9000?

Blackberry rahisi sana toa betri ukirudisha itawaka yenyewe taking not less than a min and a half (not very sure with os 7 phones) the other thing ni uwepo wa bbm
 
Nilikuwa na bold 9780 kama sijakosea ilikuwa slow yaani adi inaboa nikaiuza nkavuta kitu cha s2

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1353988312082.jpg
    uploadfromtaptalk1353988312082.jpg
    17 KB · Views: 79
Back
Top Bottom