Tinnitus ndio Ugonjwa gani?

mosses stick

Member
Nov 4, 2015
26
10
Je, unasabishwa na nini,unamadhara gani na tiba yake ninini?. Naomba wanajamvi mnisaidie.

Asante


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Je unasabishwa na nini,unamadhara gani na Tiba yake ninini?. Naomba wanajamvi mnisaidie. Asante


Sent from my iPad using JamiiForums
Wewe unauliza ugonjw awakati ugonjwa wenyewe hata hauujuwi ni ugonjwa gani? Tinnitus Ni ugonjwa wa kusikia sauti ya kengele au ngoma ndani ya sikio pasipo kuwa na sauti inayotoka nje ya sikio ndio huo ugonjwa wenyewe. kusikia muungurumo wa kengele au ngoma kwa ndani ya sikio. Dawa yake mimi ninaijuwa ukihitaji Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

 
Asante mwanajamvi mwenzangu bwana mzizimkavu kwa kunifafanulia kidogo kuhusu tinnitus.Yani sauti niliyoisikia kwenye video yako,ndio sauti hiyohiyo ninayoisikia ndani ya sikio langu la kulia.Tutazungumza mengi kwa kupitia e-mail yako.Aksante sana


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom