Tindo Mhando mgeni rasmi uzinduzi wa kwaya Anglikana Muheza

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Itakua Jumapili 8/6/2014 Muheza kanisa la Anglikani katika uzinduzi wa kwaya,je ni mkakati wa ubunge?
 
Itakua jumapili 8/6/2014 muheza kanisa la anglikani katika uzinduzi wa kwaya,je ni mkakati wa ubunge?

Alivyokuwa TBC alifikuza na kutenga waislamu akajaza na kupendelea wakristo wenzake...mdini na mbaguzi kama yeye hawez kufika popote hata kama ana ndoto za uongozi
 
Alivyokuwa TBC alifikuza na kutenga waislamu akajaza na kupendelea wakristo wenzake...mdini na mbaguzi kama yeye hawez kufika popote hata kama ana ndoto za uongozi

Mfumo Kristu huo kaka ila una mwisho wake .
 
Alivyokuwa TBC alifikuza na kutenga waislamu akajaza na kupendelea wakristo wenzake...mdini na mbaguzi kama yeye hawez kufika popote hata kama ana ndoto za uongozi

Acheni kulalamika nyie, mpigeni shule na mupunguze madrasa. Hadi TBC imekuwa mbovu sasa!!!
 
Alivyokuwa TBC alifikuza na kutenga waislamu akajaza na kupendelea wakristo wenzake...mdini na mbaguzi kama yeye hawez kufika popote hata kama ana ndoto za uongozi

Ustaadh Makamba naye alifikiri hivyo hhivyo. yuko wapi leo ? TBC Leo iko wapi ? ofic za TBC zingegeuzwa choo cha siti ninaimani pangekua na maana kuliko TBC ilivyo sasa.
 
Hana udini wowote. Tido ni mtu anataka 'efficiency' siyo lege lege na upumbavu wa Bongo. Watu wanaoshindwa kuwa hivyo wanazua tuhuma. Mbona ukoo wake wamo Waislamu? Siangeanzia huko? Acheni.
 
Acheni kulalamika shule hamtaki kwenda nyie wavaa KABOKA.

Tuende shule mara ngapi na tayari tunakuongoza wee mjukuu wa gwajma.na bado kilichobaki ni ku wa overtake tuu maadam mnyonga waislam nyerere yupo kuzimu punde wagala mtabaki historia
 
Back
Top Bottom