TIN zinauzwa na matapeli wa TRA hii ni sawa?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Wakati mwaka jana dec nilipata tin bure naambiwa leo watu wanauziwa tena na wafanyakazi wa tra nawakiona aibu wanatumia wale vishoka pale nje kwenye ofisi zao jamaani hasa wakati huu wa license je ni sawa

mh tillya hii nisawa kuuza tin jamani na kama mnauza kwa nini wengine wapapewe bure wengine wauziwe??
Msaada tutani
 
Pdidy we acha tu nimeshuhudia watu wanaletewa leseni na paspoti majumbani mwao baada ya kuchukuliwa picha na alama za vidole tena bila kupanga foleni.
 
nmeanzisha mada ya TRA itafuteni.<br />
Nilipofika ofisi zao walinambia ni bure tena imabandikwa tangazo unapewa baada ya siku 7.<br />
Lakin nilizungushwa mpaka wakanshauri eti niende tawi jingine. Nikawauliza: mbona mlipokea fomu na fotokopi ya leseni? Hawakunielewa! Leo nikawatolea uvumilivu! Nikamtafuta boss wao nikampa kisa kizima mbona nimepewa leo leo. Picha nimepigwa na finger print na TIN tena nikiwa nae huyo boss wao. Wameona aibu! Kwa kweli hali hiyo imenchukua miezi 3. Nikaandika barua ya maoni lakin hakuna hatua!
Sasa na nyie yamewakuta! Poleni...mwenzenu nimechukua hatua !
Na nyie nawashauri hii ndio njia!
 
Back
Top Bottom