TIN namba na leseni kwa biashara ya M-pesa

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
74
Je gharama ya Tin number na leseni ya biashara ya m-pesa na Tigo pesa ikoje?

Ukipeleka TIN number na lesen je unapata hizo line za mpesa na Tigo pesa kwa muda gan?
 
TIN number ni bure leseni ni laki moja., hakuna lesesni ya biashara ya m-pesa tu, leseni ya biashara ni moja iwe iashara ya ukandarasi au ya m-pesa garama ni moja tu.
 
TIN number ni bure leseni ni laki moja., hakuna lesesni ya biashara ya m-pesa tu, leseni ya biashara ni moja iwe iashara ya ukandarasi au ya m-pesa garama ni moja tu.
Ok
 
Back
Top Bottom