Timuatimua ya makocha Ulaya: Napoli yamtimua Carlo Ancelotti

DonDonald

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,528
2,703
Timu ya soka ya Napoli ya Italy imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Carlo Ancelotti masaa machache baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano kwenye Champions League.

Ancelotti ambaye ameiongoza Napoli kwa miezi 19, kabla ya kushinda mechi ya jana 4 - 0 dhidi ya Genk ya Belgium, Napoli walikuwa wamecheza mechi tisa zilizopita bila ya kushinda kwenye mashindano yote.

Timu za Everton na Arsenal za Uingereza zinafanya jitihada za kumchukua Ancelotti kuwa kocha wao.

Mchezaji na Kocha wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso anategemewa kuiongoza Napoli kwa mkataba wa miezi 6.
 
Sasa huu ni uzwazwa Gattuso ndy uchafu gani tena q

Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax

Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,

Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee
 
Usimlaumu timu ameitoa shimoni yaan kuanguka ni sehemu ya safari ukizingatia jamaa hajasajili wa hana wachezaji ghali duniani Bali kawalea yy ndio mnakuja kuwajua Leo so kumfukuza kocha wa Ajax ni kama wanataka kujirudisha shimoni yaani level za PSV na Az alkamaar
Kocha mwingine wa kutimua ni wa ajax

Wamekosa kuingia 16 kwa ujinga kabisa,

Yaan hata draw ya nyumban inawashinda hivi walikuwa hawaoni wanapoelekea aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom