mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Ni jambo la kumshukru Mungu kutuletea Rais mpya mwenye mlengo wa haki sawa kwa kila mtanzania kuanzia Elimu, maisha na uchumi.Baada ya kuapishwa kwa rais JPM wala rushwa, majangili, wazembe, wazurulaji, wadhumaji, matapeli, walipandwa na joto la kukosa maisha bora ya anasa waliokuwa nayo, kwani kila kitu kimevurugika,
Jinsi Magufuli alivyotengeneza ajira mpya kwa vijana na timua timua hii, watu wengi waliokuwa wanategemea wizi na kujiwekea hela nyingi bila kuifanyia kazi ili mradi akae anazijua kiasi chake kuwa ni nyingi, watu hawa walizoea maisha ya raha sana, sasa baada ya kukata mirija yote, wamegeukia ujasiria mali, kwa kutengeneza viwanda vidogo vidogo, ufugaji wa kuku, ufugaji wa samaki, ugaiji wa nguruwe.
Wengine wameacha nyumba zao za mjini na kuzipangisha wamepanua mji kwa kwenda pembezoni na kujenga nyumba mpya ili nyumba za mjini ziwasaidie kujikimu kimaisha kama kusomesha watoto kulipa wafanyakazi na kupanua miradi, siku hizi tunaongea nao vizuri wanatuulizia miradi ambayo unaweza kutumia milioni kumi ikakuletea angalau laki sita kwa mwezi.
Hata hivyo vijana wapya wenye upeo wameweza kupata ajira mpya kwani bodi nyingi zilizovunjwa zilikuwa zinakalilisha mtu kuwa na vyeo vitano. Unakuta mtu ni mbunge alafu anakuwa mwenyekiti wa bodi ya TANESCO, TTCL na PPF. Hivyo hivyo wazee wengi walikuwa wanapewa mikataba kuendelea na kazi na wazee hao walikuwa wanaweka kauzibe ili mfanyakazi mpya msomi asipate nafasi kwa kile wanachokiita uzoefu kazini. wazee hawa walikuwa wazoefu vitu vingi hata uchawi pia ili mradi asipoteze nafasi yake.
Aidha wazee wengi waliokataliwa kuendelea na mikataba wameweza kupanua mji kwa kasi kwani nao wameacha majumba yao mjini na kwenda nje ya mji na kujenga nyumba mpya.
Asante JPM kwa kuliona hili la ajira kwa vijana, hii tumbua tumbua, kufuza, staafisha, zinaendelea kuongeza ajira mpya