bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Ifike mahali timu zetu za soka zicheze mpira na kuacha blaa blaa,pale Uingereza Jumamosi imechezwa michezo ya Ligi kuu tena ya Nguvu mfano liverpool Vs Manchester city.
Hizo hizo timu Tena Leo Jumatatu zimecheza Michezo ya ligi kuu nayo ikiwa ni Migumu pia ILA sijasikia timu yoyote ile ikilalamika kwamba RATIBA IMEBANA na kuomba michezo Yao IHAIRISHWE tofauti na hapa kwetu ambapo tungeanza kusikia maneno ambayo sio mazuri masikioni mara hooo kuna timu inapendelewa,Mara Kuna timu inaandaliwa kuwa bingwa,ooo hatutapeleka timu uwanjani mpaka nao wamalize Viporo vyao na maneno chungu nzima.
LA MSINGI VIONGOZI WANATAKIWA WAHAKIKISHE TIMU ZAO ZINAJIANDAA KWA LOLOTE LILE NAO TFF WAACHE KUSIKILIZA MANENO YA VIONGOZI HAO NA WAO KWELI KUJIPATA WANABADILISHA RATIBA KWA AJILI YA TIMU 3 AU 4.
NAWAKILISHA.