Timu ya yanga ikiwa mazoezini wanafanyaga nini msimu wa 2020/2021

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
7,416
18,856
Wakuu Habari zenu?

Hivi hii timu ya yanga kwenye mazoezi wachezaji wanafanyaga nini? Au wanafanyaga mazoezi ya kukimbia tu? Maana wanavyocheza uwanjani ni kama watoto washule ya msingi ukiwaambia hapa chezeni mpira hapa.

Watajipanga kama yanga wanavyojipanga na watacheza kama yanga wanavyocheza yaani ukipata mpira wewe peleka mbele tu itajulikana mbele huko.

Inavyoonekana mwalimu hafundishi mpira hapo wala hakuna analysis zozote zinazofanyika kumuusu mpinzani wao wanaocheza naye, wao wanacheza tu kupeleka mpira mbele.

Sasa kama ndio hivyo kwenye mazoezi kocha anafundisha kwa kutoa maelekezo gani au ndio kocha anachukua mshahara wa bure yupo tu kama pambo .

Namna yanga wanavyocheza ni mpira ambao hauna maelekezo ya mwalimu iko wazi kabisa hiyo.

Soka la yanga limeshapitwa na wakati watu siku hizi wanacheza kwa utaratibu.

Kuna watu wanashangaa wavyopata ushindi wa goli na na sare,lakini ukifatiliA wavyocheza wao hawaweki mpira chini wao ni kurusha ndege tu. Kwa style hiyo kupata matokeo ni ngumu sana.

Msimu huu wataukosa ubingwa sijui watafanyaje maana msimu umeanza wamesajiri wachezaji kibao.na ubingwa wanaukosa .

Wachezaji wengi wa yanga wana miili mikubwa yaani kama mabondia sasa watu kama hao ukiwa nje ya box unawaambia pale au ndani ya box wamaambie lengeni tu goli maana kwa miili ile hakuna kipa wakudaka mshuti yao.ila wapi wao wanajichezea tu.
 
Lakini yanga huyo huyo ndo haja fungwa tangu ligi ianze na ndo huyo huyo ndo anaongoza ligi na mfumo wa kocha mbovu huyo huyo. Pale juu hatutoki mpaka tunachukua ubingwa😂😂😂
 
Ukisikia pilipili ya shamba inakuwashia nini... Ndio hivi mikia fc, mbumbumbu, utelembwe fc wanavyohangaika na ya wananchi na kuacha yao
 
Lakini yanga huyo huyo ndo haja fungwa tangu ligi ianze na ndo huyo huyo ndo anaongoza ligi na mfumo wa kocha mbovu huyo huyo. Pale juu hatutoki mpaka tunachukua ubingwa
Sasa atafungwaje wakati anacheza butu butu.. yani butu butuaaaaa mpira ukienda langoni kwao wanabutuaaaaa buuuuu mbele.

Butu butuuu fc
 
yanga hii yenye sarpong nchimbi kaseke ni hatari wanafunga magoli.

goal scor
nchmbi 23
kisinda ....23
kaseke ....ana cleen shit.
sjui nmeandika nn wadau
 
Wakuu Habari zenu?

Hivi hii timu ya yanga kwenye mazoezi wachezaji wanafanyaga nini? Au wanafanyaga mazoezi ya kukimbia tu? Maana wanavyocheza uwanjani ni kama watoto washule ya msingi ukiwaambia hapa chezeni mpira hapa.

Watajipanga kama yanga wanavyojipanga na watacheza kama yanga wanavyocheza yaani ukipata mpira wewe peleka mbele tu itajulikana mbele huko.

Inavyoonekana mwalimu hafundishi mpira hapo wala hakuna analysis zozote zinazofanyika kumuusu mpinzani wao wanaocheza naye, wao wanacheza tu kupeleka mpira mbele.

Sasa kama ndio hivyo kwenye mazoezi kocha anafundisha kwa kutoa maelekezo gani au ndio kocha anachukua mshahara wa bure yupo tu kama pambo .

Namna yanga wanavyocheza ni mpira ambao hauna maelekezo ya mwalimu iko wazi kabisa hiyo.

Soka la yanga limeshapitwa na wakati watu siku hizi wanacheza kwa utaratibu.

Kuna watu wanashangaa wavyopata ushindi wa goli na na sare,lakini ukifatiliA wavyocheza wao hawaweki mpira chini wao ni kurusha ndege tu. Kwa style hiyo kupata matokeo ni ngumu sana.

Msimu huu wataukosa ubingwa sijui watafanyaje maana msimu umeanza wamesajiri wachezaji kibao.na ubingwa wanaukosa .

Wachezaji wengi wa yanga wana miili mikubwa yaani kama mabondia sasa watu kama hao ukiwa nje ya box unawaambia pale au ndani ya box wamaambie lengeni tu goli maana kwa miili ile hakuna kipa wakudaka mshuti yao.ila wapi wao wanajichezea tu.
Labda kama unazungumzia aina ya mpira wa Yanga baada ya mzunguko wa kwanza kuisha. ila kama unazungumzia overall kwanzia mechi ya kwanza ya mzunguko wa kwanza mpaka sasa, nitakuona ni mnafiki na muongo kwasababu kwanzia aondoke yule mzungu na kuletwa Kaze; Yanga walikuwa wametulia kiuchezaji kwa kuweka mpira chini na kuucheza na kucheza mpira wa kasi. Na hakukuwa na shabiki yeyote aliyehoji juu ya uchezaji wa Yanga kwavile mpira walikuwa wanaupiga mwingi, mashambulizi yanatengenezwq isipokuwa umaliziaji ndio ulikuwa ni tatizo.

Sio Kama mazoezi hawafundishwi kitu ama hawajui kucheza mpira embu rudia kutasa mechi ya Yanga vs Kagera Sugar kipindi cha pili baada ya Mukoko kuingia Yanga walicheza soka la aina gani.

Tokea timu iingie kwenye mapumziko na Mwambusi kuondoka, naiona Yanga inayozidi kuchoka. Changamoto za umaliziaji umekuwa ndio tatizo sugu kabisa, na upang
 
sasa kama timu inayoongoza ligi bila kufungwa hata mechi moja ni mbovu hivyo, je hizo nyinghne zinazomfuata ni zilizofungwa zikoje
 
Yanga ni timu nzuri na inacheza vizuri na inapata matokeo mazuri hadi sasa,
Mi sifahamu wanaosema Yanga haichezi vizuri na ni mbovu wanapata wapi hayo maneno.
Ninachokiona hapa watu wanataka Yanga icheze fomesheni ya Simba, jambo ambalo sio rahisi kwa kipindi kifupi.
 
Simba ina falsafa yao ya mpira na Yanga ina falsafa yao ya mpira. Tatizo la Yanga ni ubutu wa safu ya umaliziaji tu.
 
Ya Ngoswe mshighie Ngoswe
Umenena vyema,ya vidimbwini tuwaachie vyura wenyewe
IMG-20200621-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom