amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
TAMKO LA TEAM YA WAZALENDO MKOA WA ARUSHA LEO TAR 1.6.2017
Ndugu wanahabari naomba tuungane na na wazalendo wengine wa nchi hii waliyotangulia kumpongeza Mh Dr.John Pombe Joseph Magufuli Kwa kuunda tume iliyobaini wizi mkubwa sana kwenye mchanga wa madini yetu
Kwenye jambo hili wapo waliyokuunga mkono na kuufurahia mchakato mzima ambao tume ya Prof.Mruma iliufanya Kwa weledi mkubwa kwasasa yapomatumaini makubwa kwa wananchi wa Tanzania kufurahia kunufaika na rasilimali zao bila wizi
Ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha pale Chama Cha Chadema wanapotutishia kama wananchi na kuupotosha umma kuwa serikali itashitakiwa kwa kosa la kuzuia kuibiwa malizake ni mwenda wazimuu tuu basi ndiye anayeweza kuwaelewa Chadema kwenye jambo kama hili
Yapo maswali ya kujiuliza hawawenzetu wanabeza hizi hatua kwa faida ya nani ? nani aliyewatuma kuwatisha watanzania kuwa watashitakiwa kwakosa la kuzuia wizi kwenye nchi yao ? je ?Chadema inatumika na mataifa ya nje kutuondoa kwenye hii Agenda kwa faida ya nani ??
Mh Rais tunakuomba usonge mbele ww ndiye uliaminiwa na watanzania 2015 na nasisi tunakuungamkono kwa juhudi zako za kizalendo unazozifanya
Kiongozi wa taifa la India Mahatma Gandi aliwahi kusema ukifanya jambo adui yako akakusifia hilo jambo liache mara moja
na ukifanya jambo adui yako akakusema vibaya hilo jambo ni jema usiliiache liendeleze
HILI JAMBO LA KULINDA RASLIMALI ZETU NI JAMBO JEMA USILIACHE
2.Tunaomba tuseme machache juu ya kinachoendelea ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha upo mgogoro ambao madiwani wa chadema baadhi wanaukuza pale stand mdogo baada ya kujiingiza kwenye mgogoro huo jambo linaloonyesha kuwa kuna mianya ya rushwa na upendeleo wa kisiasa baada ya baadhi ya madiwani kuwashawishi wapangaji kuwa wao wanauwezo wa kuwapa maduka ambayo wapo wajenzi ambao walitakiwa waendelee kuyamiliki kama wawekezaji wadogo lakini kutokana na mambo yao ya kisiasa wamekuwa wakishinikiza kuwa watawanyang'anya wajenzi na kuwaweka watu wao hili ni jambo lisilowezekana hata kidogo
Ni Vizur tukajifunza kuheshimu taratibu zetu za sheria Chadema ndani ya jiji la Arusha siyo serikali bali nivyema mkatambua kuwa nyie ni watumishi /wawakilishi mnao tekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm na mnapokosea lazima CCM tuwasahihishe kwa kuwaonyesha lipo tamko lenu lajana kwenye mitandao nililikuta kama mnaweza kufanya vikao alafu mnaenda tena Bar
::
Naomba kunukuu tamko lao la sekei tar 30:5:2017
Katika suala la Vibanda vya Stendi ndogo kwa hakika hatutakubaliana na Mkurugenzi wa Jiji anayetaka wamiliki wajenzi waendelee kufanya Biashara kwa makubaliano maalumu na kuwaondoa wale wapangaji wa muda mrefu.
Ni kweli kwamba tulikubaliana katika kikao cha Baraza lililopita kuwa Mkurugenzi auende Timu itakayokutana na wafanyabiashara kwa ajili ya kumaliza mgogoro huo nje ya Mahakama baada ya mkurugenzi huyo kukataa kuundwa kwa kamati ya madiwani ya kutatua mgogoro huu kwa kisingizio cha kubana matumizi.
Katika kupitia maamuzi hayo tumegundua kuwa hayakuwa sahihi na Mkurugenzi amekataa kuitisha Kikao kingine ili tutengue maamuzi hayo hivyo tukaamua kuitisha kikao kwenye Mgahawa wa Woodland kwenye barabara ya Ngalo Maeneo ya Sekei tarehe 30/05/2017 kurejea
Maamuzi Tuliyofanya kwenye Baraza na kugundua kuwa Mkurugenzi wa Jiji ndugu Kihamia alipotosha Baraza na kuna viashiria vya Kihamia na Mkuu wa Wilaya kutumiwa na Mkuu wa Mkoa kwa kupokea maagizo mbalimbali yenye lengo la kuudhoofisha upinzani ambao ndiyo unoongoza jiji. Lengo la viongozi hawa 3 ( RC, DC na mkurugenzi ) ni nikuwakingia kifua wafanyabiashara wajenzi waendelee Kumiliki vibanda hivyo!
Kwa kurejea Hali hiyo Madiwani wa Chadema tumeunda Kamati 2 zitakazotekeleza maamuzi yafuatayo:
Kamati ya Kwanza
1. Meya Kalisti Bukhay
2. Innocent (Katibu wa Mbunge)
3. Nanyaro Efatha
4. Doita harry
5. Glory Kaaya
6. James Lyatuu
Kwa pamoja wataenda TAKUKURU kupeleka Taarifa za Mkurugenzi kutumia vibaya madaraka yake kwa shinikizo toka kwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kupendelea Wafanyabiashara wajenzi ambao wengi ni makada wa CCM ili aweze kushughulikiwa kwa kosa la upendeleo ambao ni ubaguzi na sisi tu naamini rushwa siyo lazima ya fedha hata upendeleo ni rushwa.
Kamati ya Pili
1. Meya Kalisti Bukhay
2. Ally Bananga
3. Doita Harry
4. Nanyaro Efatha
5. Glory Kaaya
Kwa Pamoja kushirikiana kuandika Barua na kuiwasilisha kwa Katibu Mkuu ofisi ya rais TAMISEMI kulaani vitendo vya Mkurugenzi kupuuza maamuzi ya Baraza la madiwani na kutekeleza ya kwake kwa shinikizo la mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ambao wana malengo ya kisiasa.
Sisi viongozi wa Chadema hatutakubali mpango wa Jiji kutoa vibanda kwa Wamiliki Wajenzi lazima vibanda hivi wapate wapangaji ambao wengi ni wanachama wa Chadema. Ni muda mrefu sasa mkurugenzi huyu Amekuwa pasua kichwa kwa kuwa mbabe dhidi yetu sisi madiwani tuliochaguliwa na wananchi. ::
Mwisho wa kumnukuu mwandishi wa tamko la chadema
::
3.Kwa sasa niwazi kuwa Chadema mmeshindwa kuliongoza jiji kama madiwani na mbunge kila siku wanalia na hivi vibanda vya stand ndogo ambavyo baadhi yao kunaviashiria vya rushwa basi baraza hill linapoteza uhalali wa kuwepo na kuendelea kuongoza hii Halmashauri yetu Lile ombi la Mbunge Lema la kuomba hii Halmashauri ivunjwe ni halali kabisa
Imetolewa na Team ya wazalendo Arusha