Timu ya ukaguzi wa vyeti feki ichunguzwe, kuna watu waliachwa kwa kuhonga

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
mimi Nina uhakika na hiki ninachokiongea. kuna watu wengi tu wamechwa na wana vyeti feki hasa kwenye wizara ya Afya. kuna watu waliohonga na timu ya ukaguzi ilikuwa ikifanya manuva kuhakikisha watu hawa wanabaki.

Naiomba serikali ilifanyie kazi suala hili
 
Mrema:‘‘Acha unaa'' he he! whenever there is human element involved that is to be expected especially in Africa
 
Watapatikana baadae kwani ukaguzi insensées, unadhani kuwa alieachishwa kazi kwa kuwa na cheti feki wakati anamfahamu mwenzake amebaki atakaa kimya ?
 
mimi Nina uhakika na hiki ninachokiongea. kuna watu wengi tu wamechwa na wana vyeti feki hasa kwenye wizara ya Afya. kuna watu waliohonga na timu ya ukaguzi ilikuwa ikifanya manuva kuhakikisha watu hawa wanabaki.

Naiomba serikali ilifanyie kazi suala hili

Ni kweli hapa nilipo namfahamu moja!!!
 
Mi nawafahamu wawili na mida hii Niko nao kwenye sherehe wanafuhia ni kinomaaaa,tishert saafi
 
Hao watu waliohonga wataje....usipowataja basi tupendekeze nawe uchunguzwe kwani wanaweza kuwa wamekuhonga....
 
mimi Nina uhakika na hiki ninachokiongea. kuna watu wengi tu wamechwa na wana vyeti feki hasa kwenye wizara ya Afya. kuna watu waliohonga na timu ya ukaguzi ilikuwa ikifanya manuva kuhakikisha watu hawa wanabaki.

Naiomba serikali ilifanyie kazi suala hili
1Unachosema ni kweli kabisa. Wapo wengi sana wana vyeti feki. Wanajulikana
 
mimi Nina uhakika na hiki ninachokiongea. kuna watu wengi tu wamechwa na wana vyeti feki hasa kwenye wizara ya Afya. kuna watu waliohonga na timu ya ukaguzi ilikuwa ikifanya manuva kuhakikisha watu hawa wanabaki.

Naiomba serikali ilifanyie kazi suala hili
Nina mashaka hata hii team nayo kina bashite tuu
 
Back
Top Bottom