Timu ya Taifa ya Riadhaa inatembeza bakuli kushiriki EA games aibuu Sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu ya Taifa ya Riadhaa inatembeza bakuli kushiriki EA games aibuu Sana

Discussion in 'Sports' started by Lucchese DeCavalcante, May 14, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nimeona Tangazo ITV timu ya riadha ya Taifa inaomba misaada ifuatayo ili iweze kushiriki mashindano ya Africa Mashariki mwezi ujao pale uwanja Taifa:

  Kilo 300 za Mchele,
  Kilo 50 za Chumvi,
  Kilo 200 za Sukari,
  Kopo 12 za Glucose,
  Kambi ya kufanyia mazoezi kwa wiki 2,
  Nyama na Maharage ya kutosha...

  Hii ni aibu kwa chama cha riadha nchini yaana mnakosa wazamini wa kuwapa fedha mshiriki mashindano yanayofanyika nyumbani??? Shame on you..
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yaani toka enZi za kinA Filbert Bayo riadhaa Bongo imekufa kabisa
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  Mambo ya ajabu haya.
   
Loading...