Ni mwalimu wa mpira mzuri sana.naomba cv ya mwalimu kashasha
Marehemu Nico Bambaga (R.I.P.)Mwl.Alex Kashasha alisomea physical Education pale Butimba College Mwanza na UDSM.Pia amehudhuria semina kadhaa za ukocha za CAF na FIFA.Amefundisha timu kadhaa zikiwamo MUTEX ya Mara na timu kadhaa za kanda.Amechangia kuibua vipaji vya wachezaji wengi nyota akiwamo Nico Bambaga.
Uko sahihi kabisa. Kamfundisha Paul Rwecgungura( mutex) Bitta John ( Mara Stars. Kabla hajahamia pamba then Simba. Ni mwl wa mpira na ana shahada ya michezo (PE) kama marehemu Syla Said Mzirai(super coatch)Mwl.Alex Kashasha alisomea physical Education pale Butimba College Mwanza na UDSM.Pia amehudhuria semina kadhaa za ukocha za CAF na FIFA.Amefundisha timu kadhaa zikiwamo MUTEX ya Mara na timu kadhaa za kanda.Amechangia kuibua vipaji vya wachezaji wengi nyota akiwamo Nico Bambaga.
Joseverest umenikumbusha jamaa yetu mmoja wakati tunapiga ligi ya mchangani alikuwa bingwa wa kuchambua namna golikipa anavyotakiwa kufanya akiwa golini. Siku moja tukakosa golikipa tukampanga yeye bwana, ilikuja kuchongwa nduki moja ikahama na pua! Tangu siku hiyo hakuwahi kuuchonga tena kuhusu golikipa! Kwa hiyo nakubaliana na wewe kabisa mpira hauchezwi mdomoni!Shida inakuja pale ambapo vitendo ndio vinahitajika dhidi ya maneno ya uchambuzi..Pale uwanjani nyie paoneni tu