Timu ya Mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli 13 na vijana wa Zanzibar

Renzo Barbera

Renzo Barbera

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Messages
473
Points
1,000
Renzo Barbera

Renzo Barbera

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2015
473 1,000
Leo timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli za kutosha na Wapemba. Picha inajieleza zaidi.

=====

Katika mashindano ya TFF U15
vijana wa Zanzibar (Mjini Magharibi) wamewafunga vijana wenzao kutoka Kilimanjaro mabao 13-0

FT: Kilimanjaro 0-13 Mjini Magharibi.

Mchezo umechezwa asubuhi ya leo kwenye uwanja wa Karume, Ilala.
 
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,627
Points
2,000
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,627 2,000
Sisi habari za mpira ni ngumu sana huku ni biashara,pombe nk

Hata mazingira yetu hayaruhusu hamna viwanja wala open space kwa ajili ya michezo
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,728
Points
2,000
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,728 2,000
Leo timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli za kutosha na Wapemba. Picha inajieleza zaidiView attachment 1126247
Unatumia vigezo dhaifu sana kusema kuwa Wachagga hawajui mpira. Hivi kweli kwa mfano unamfahamu msoni mmoja anaitwa Leodgar Chilla Tenga?
 
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
779
Points
1,000
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
779 1,000
acha zako wewe.... hao wapemba wamejaza vijeba kibao halafu uchawi mwingi.... kilimanjaro waadilifu na waaminifu tumechezesha watoto wa miaka 13 kushuka chini sasa hao vijeba unadhani wangefanya nini?
 
Tate Mkuu

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
918
Points
1,000
Tate Mkuu

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
918 1,000
acha zako wewe.... hao wapemba wamejaza vijeba kibao halafu uchawi mwingi.... kilimanjaro waadilifu na waaminifu tumechezesha watoto wa miaka 13 kushuka chini sasa hao vijeba unadhani wangefanya nini?
Ndiyo mfungwe goli 13-0! Mkubali tu michezo kwa upande wenu siyo kipaumbele.
 

Forum statistics

Threads 1,306,403
Members 502,074
Posts 31,579,441
Top