Nchi hii kwa sababu haina katiba iliyotimia watawala wanafanya wanavyotaka ,KASIMU MAJALIWA ndiye anaemiliki hiyo timu na hiyo timu ameanza kumiliki baada ya kupata huo uwaziri ,kama tujuavyo kumiliki timu ni kazi kubwa ambayo inahitaji mitaji mikubwa ,sasa Majaliwa amepata wapi fedha za kuhudumia timu ambayo unamshauri mmoja?Hapa kuna maswali na Majibu ambayo yanahitaji tafakuri ,sikatai hilo gari kukodishwa kwa namna nchi inavyoendeshwa nina wasiwasi na hayo maamuzi ya huyo anaemiliki timuWakuu habari za jumamosi?
Naomba Kama kuna mtu mwenye uelewa anieleweshe.
Ahsante
View attachment 1912163
Mkuu,Nchi hii kwa sababu haina katiba iliyotimia watawala wanafanya wanavyotaka ,KASIMU MAJALIWA ndiye anaemiliki hiyo timu na hiyo timu ameanza kumiliki baada ya kupata huo uwaziri ,kama tujuavyo kumiliki timu ni kazi kubwa ambayo inahitaji mitaji mikubwa ,sasa Majaliwa amepata wapi fedha za kuhudumia timu ambayo unamshauri mmoja?Hapa kuna maswali na Majibu ambayo yanahitaji tafakuri ,sikatai hilo gari kukodishwa kwa namna nchi inavyoendeshwa nina wasiwasi na hayo maamuzi ya huyo anaemiliki timu
Akawapa kazi wabrazil barabara ya Morogoro -DAKAWA-Dodoma.Mnaona haya mambo kama mapya lakini yalikuwepo toka wakati wa Nyerere..
Samuel Sita aliwahi kuleta Simba kocha mzungu akawa analipwa hela na serikali