Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wanapiga push up majukwaani hata kule kwetu upareni nyani huwa wanazipiga.
Kumbuka team INA watu 30!
Magufuli mwenyewe anauzito kuliko hata ccm kama chama! Kumbuka JPM ni jeshi la mtu mmoja!
Na hata ukiiombea mabaya team Magufuli unajichosha tu! Kumbuka....
Tembo hata akikonda vipi hawi kama mbuzi!
Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa
Hilo li chama na life tu. Limetuibia sana wavuja jasho. Life yena life kibudu
Mtoa mada una bahati sana kwamba habari yako itakuwa ni ya kuwafurahisha wengi hapa jamvini hasa wale wanaopenda
kutukana. Kwa mfano ungeandika Lowassa njiapanda timu ya kampeni imesambaratika ungetukanwa ungeitwa mnafiki,
Magamba, msaliti, Yuda yaani kila jina. Ila angalau ubunifu wako mzuri hapa utapewa hongera na kuonekana mpenda
mabadiliko.
Hilo li chama na life tu. Limetuibia sana wavuja jasho. Life yena life kibudu
Walionuna wanasubiri burudani kutoka kwa wasanii wanawaowasikia tu kwenye maradioNinaona mikono michache na wengi wamenuna sana. Kuna nini?
Farijianeni kwa maneno hayo.Nafarijika sana mkuu
Lowasa ameiba akiwa CCM kwa miaka 30, sasa wajinga Fulani wanamshabikia akaibe tena akiwa chadema.
aruke na kichura labda ataeleweka