Timu ya Bensouda (ICC), yaanza kazi rasmi, wafanya kikao na European Election Observers

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Feb 28, 2014
5,790
2,159
Baada ya tarehe 25 Oktoba, chochote kinaweza kutokea kwa viongozi wetu kama ilivyotokea Kenya (2007), na Ivory Coast.

Wawakilishi wa Mahakama ya kikataifa ya uhalifu wa binadamu washatua nchini Tanzania. Na tayari washakutana na waangalizi wa uchaguzi kutoka jumuiya ya ulaya ambao waliwasili mwanzoni wa mwezi September...

Kwa taarifa za uwakika, ni kwamba wajumbe hao walijadili mienendo ya uchaguzi (kampeni zinazoendelea), na timu hiyo ya ICC tayari wako field kukusanya taarifa mbalimbali ikiwemo ile kauli ya Bulembo kwamba CCM hawawezi kuachia madaraka hata iweje...

......N. Papers, KTN, Ctzn.... "Tanzania election on trail 2015"....
 
Attachments

  • 1444723224416.jpg
    1444723224416.jpg
    49 KB · Views: 1,920
Ukawa You Think Tunawaogopa Hao Icc?Jueni Tunajua Tunachokifanya.
Kuna watu walishajua na kutambua ni kwa nini wako duniani.
Kama wewe unaamini maisha ni kuiba pesa nyingi kadri uwezavyo au kupata cheo hata kama ni kumwaga damu za wapiga kura ndio sasa utajifunza kuwa 'men's merit depend on virtues' na sio materials gain!

Wakati wengine wakijiandaa kuwapeleka watu ICC, wengine wanajiandaa kuunda mahakama za walarushwa na mafisadi ili washughulikiwe hapahapa nyumbani....!
 
Mkuu kuna mengi tutashuhudia baada ya uchaguzi maana ccm na polisi walizoea kufanya mambo kwa mazoea wakiuke sheria waone moto
 
Unaongea kama mke wa Ayubu.... Mwambieni Jakaya aje akatae kukabidhi madaraka kama anajiamini akione cha moto...

Asante Mkuu,lakini Akabidhi Vipi Madaraka Kama Hamjashinda?Kwani Kura Zimeshahesabiwa Na Kujulikana Nyie Ni Washindi?Kama Mnajijua Mshashinda Kwanini Msikae Tu Kitako Tuli Msubiri Kupigiwa Kura Ya Ndio Tu?
 
Kuna watu walishajua na kutambua ni kwa nini wako duniani.
Kama wewe unaamini maisha ni kuiba pesa nyingi kadri uwezavyo au kupata cheo hata kama ni kumwaga damu za wapiga kura ndio sasa utajifunza kuwa 'men's merit depend on virtues' na sio materials gain!

Nani Anaenda Kumwaga Damu Ya Mpiga Kura?Ni Nyie Wenyewe Mnaojaribu Kujenga Mazingira Kuwa Sisi Tunaweza Kuja Kuharibu Amani Ambayo Tumejaribu Kuilinda Kwa Miaka Yote.
 
Watu kama hawa, November hatutawaona tena

MKUU ocampo 4 embu fungua uzi wa kilicho mwagwa jana pale lindi, sisi hatukufuatilia maana tunaaleji ya chama cha rangi ya mboga mboga, nimeona hapa kwenye uzi wako, mzee wa ukweli na uwazi kamwaga matusi yake.

hapa ndipo na rudi kwenye maandiko matakatifu. - Mhubiri 4:13 >> Heri Kijana Maskini Mwenye Hekima Kuliko Mfalme Mzee Mpumbavu. Ambaye Hajui Tena Kupokea Maonyo: Mungu Awape Viongozi Wetu HEKIMA na BUSARA ya Kinywa.
 
Membe jana alisema Lowassa akishinda CCM haitakubali na wataingia msitumi....
 
SA wanafikiria kujitoa ICC ,kenya waliwashindwa they are toothless muhimu ni kupambana tu kama kushinda au kushindwa iwe kihalali
 
Baada ya tarehe 25 Oktoba, chochote kinaweza kutokea kwa viongozi wetu kama ilivyotokea Kenya (2007), na Ivory Coast.

Wawakilishi wa Mahakama ya kikataifa ya uhalifu wa binadamu washatua nchini Tanzania. Na tayari washakutana na waangalizi wa uchaguzi kutoka jumuiya ya ulaya ambao waliwasili mwanzoni wa mwezi September...

Kwa taarifa za uwakika, ni kwamba wajumbe hao walijadili mienendo ya uchaguzi (kampeni zinazoendelea), na timu hiyo ya ICC tayari wako field kukusanya taarifa mbalimbali ikiwemo ile kauli ya Bulembo kwamba CCM hawawezi kuachia madaraka hata iweje...

......N. Papers, KTN, Ctzn.... "Tanzania election on trail 2015"....

Acha umbeya wewe.Hujui ICC ni kitu gani na inafanyeje kazi zake.Na inapokeaje mashtaka yawe ya kuhukumu au kupeleleza.Kwa hiyo hata ukiwaona mtaani unajua kumekucha!!!!! pole weee

Hako kagazeti nako mweeeeee!!!!
 
Membe jana alisema Lowassa akishinda CCM haitakubali na wataingia msitumi....

Komba alisema kama Katiba ya Wananchi itapitishwa ataingia msituni kinyume chake akatangulia mbele ya haki kabla ya aliyemtuhumu. Hatuombei watu wafe ila ni vizuri na ni vyema sana kila mtu kwa nafasi yake akajitahidi kutawala na kusimamia kauli ya kinywa chake.
 
Back
Top Bottom