Timu Namba 1 Kenya Gor Mahia haijalipa wachezaji miezi minne, haiwezi hata kuhudumia maji wakati wa mazoezi

Ni wazi Tanzania ndiye Kinara wa Soka hapa Africa Mashariki, Kuanzia ngazi za vilabu, Viwanja hadi ligi yeyewe kwa ujumla,
Wachezaji mahiri wa ukanda huu ndoto zao ni kucheza Vilabu vya Tanzania hasa Simba, Azam, Yanga NK,
Kuna wakati Yanga aka Utopolo ilipitia wakati mgumu sana kiuchumi lakini Haikuwahi kufikia kiwango hiki cha ufukara cha Gor Mahia ambayo ndiyo timu Namba 1 Kenya,

___________________________________________
MAJI yamewafika Gor Mahia shingoni. Taarifa za utendeti tulizonasa zinaarifu zaidi ya wachezaji 10 wanaounda 'First 11' wanajipanga kuigura klabu hiyo kutoroka msoto.

Nyufa ya kwanza kwenye ukuta wa Gor ulianza kwa kocha Mreno Carlos Vaz Pinto kuondoka ghafla baada ya kuvunja mkataba wake. Hakuwa amelipwa mshahara wake wa miezi minne kufikia wakati anaondoka.

Kisha akafuata kiungo tegemeo Kenneth Muguna aliyejiunga na Azam FC ya Tanzania halafu beki wao tegemeo Charles Momanyi aliyejiunga na Tusker hivi majuzi.

Sasa hakuna anayetaka kubaki baada ya miamba hao kuondoka huku wachezaji wenzao wa kikosi cha kwanza nao wakijipanga kujitoa. Tatizo kubwa limekuwa suala la utolipwaji wa mishahara yao.

"Ninaweza kukuhakisha kwamba takriban wachezaji kumi wenzangu wameanza mazungumzo za kujiunga na klabu zingine. Mawazo yao yapo kwingine kabisa sio Gor tena. Kila mtu anataka kuondoka," kafichua mchezaji mmoja anayeunda kikosi cha kwanza, ambaye naye vile vile yupo kwenye mkakati huo.

Kulingana naye kikosi hakina morali kabisa huku kila mmoja wao mawazo yake yakiwa kwingine kabisa sababu kubwa utolipwaji wa mshahara wao kwa miezi minne sasa.

"Tumepewa ahadi chungu nzima za kutulipa lakini wapi. KIla siku tunazungushwa tu na menejimenti. Imefikia hataua kwamba hata kupata maji ya kunywa tu wakati wa mazoezi ni tatizo. Sasa kama hiyo imekuwa changamto sembuse kulipwa fedha zetu," mchezaji huyo kaongeza.

Mpaka sasa Gor hawajashinda mechi zao saba za mwisho za ligi kuu iliyosalia na mechi sita msimu ufike mwisho.

Presha sasa imeanza kumwandama mwenyekiti Ambrose Rachier ambaye ameendelea kugandia uongozini kwa mwaka wa 12 sasa.

Vile vile meneja wa timu Jolawi Abondo ambaye kadumu na kikosi hicho kwa zaidi ya miaka saba naye kanyooshewa kidole cha lawama. Sasa mashabiki wanawataka viongozi hawa wajitoe Gor.

Haya yanajiri wakati pia CAF imewakazia Gor kuhusu ushiriki wao wa dimba la Confederation Cup msimu ujao. Ili kushiriki wanatakiwa kumlipa wing'a Dicsion Ambundo aliyewashtaki FIFA, fidia yake ya Sh1.8 milioni kwa kumvunjia mkataba bila kufuata utaratibu mwafaka. Bado hawajafanya hivyo.

Gor aidha walipigwa marufuku ya kufanya usajili na FIFA kwa sababu ya kushindwa kuwalipa wachezaji wake ilivyowavunjia mikataba yao fidia zao.

View attachment 1872371
Hio ni lipuli
 
The Best Thing The Poor Gor Mahai can do agains big teams in Africa ni kubakwa mabao mengi.
JamiiForums1209601680.jpg
 
Elimu kidogo mkuu,
Kuna kocha nafikiri alitokeya brazil,mnda hukuwadia alipokanyanga mavumbini dar slum, chama cha madudu walimtimwa kama fisi.
 
#KtnTokyo2020. Watalii wa kutoka Kenya wanatakiwa kuondoka japani haraka sana lindi wanaponaliza kuangalia Ujapani. Mnapeleka watu wengi hili kujipatia pesa za wananchi sizizo na umakini . Hafadhali mngejenga vyoo huko kibera au shule sa vijijini
 
Wacha wivu dogo. Nyinyi mliopeleka watu watatu Olympics unatuambia nini hapa? Ungefyata tu.
 
Wangeshindwa ndiyo maana awakupelekwa wengi. Sasa watalii wa kwenu ndiyo hivyo tena. Wamejinza wakati walikuwa wamefungia ndani....
 
Tunapata dhahabu tano au zaidi kabla mchezo haujakamilika. Mark my words.
10000m wapiiiiiii.... mlitegemea hii. Sasa Wabeshi na Uganda. Wangekwenda wadada wa riadha wawili ndio waziri. Wengine wanaogopa kushuka madawa ya kuongeza nguvu
 
billy, una tabiko zaidi ukuliko maiti. Alo kunywa supu ya kiti-mtu na pilipili. Mazezetas kweli hawana dactari lazima supu!!
 
Naona Nyang'aus na Danganyikas wanabishana tu hapa kujipa ujiko wakati wenye mpira wao FIFA wamerank:-
1.Uganda
2.Kenya
3.Tanzania

Uganda Ni ya 84 duniani, Kenya ya 102 na Tanzania ya 137. Hivyo basi Uganda ndo namba Moja Afrika Mashariki, hakuna haja ya kujipa ujiko and topic closed.
Hizo ni ranks kwa team za taifa hapa zinazungumziwa clubs
 
Back
Top Bottom