Timu Namba 1 Kenya Gor Mahia haijalipa wachezaji miezi minne, haiwezi hata kuhudumia maji wakati wa mazoezi

Same case your one sport Nation haijulikani FIFA.

ata hii boxing huwa mnajisifu nayo sijaona anyone from Tanzania.

Failed STATE.
Top professional boxers like Hassan Mwakinyo won't participate in random tournaments like Olympic.
Mind you we have a good number of professional Boxers..
 
Heheh, mashindano makubwa ya soka ni yale ya FIFA na CAF, if your clubs aren't doing well here it means you are having an amateur league, and kenya's so called premier league is no more than amateur, just like a South Sudanese Premier League.
Nyinyi hamko vizuri kwenye mchezo wa kandanda. Sijui unatusumbua nini hapa. Timu ya Tanzania haijawahi kuqualify kuenda world cup ya mpira. Nyinyi ni watoto kwenye mchezo huu. West Africans ndio mabingwa kwenye mchezo huu. Usituone wajinga. Huwa mnapigwa kwenye soka. Hata Kenya imepiga timu ya Tanzania mara nyingi na nimetazama mechi hizo. Tafuta mtu wa kudanganya.
 
Top professional boxers like Hassan Mwakinyo won't participate in random tournaments like Olympic.
Mind you we have a good number of professional Boxers..
Mna boxers wangapi ambao wanashikilia mishipi ya WBA, WBO, IBF au WBC? Usituone wajinga Mr. Sisi wote hapa ni watu wazima na tunajua nchi ambazo zipo vizuri mwenye mchezo wa Ndondi. Nyinyi hamko huko.
 
Ati hiii caf ya upuzi hamjawahi fika quarters mybe 16th round pia.
Waaah pambana na vitu natural like Serengeti,kilimanjaro etc.
Acha ufala
20210729_164237.jpg
View attachment 1872981View attachment 1872980
 
Nyinyi hamko vizuri kwenye mchezo wa kandanda. Sijui unatusumbua nini hapa. Timu ya Tanzania haijawahi kuqualify kuenda world cup ya mpira. Nyinyi ni watoto kwenye mchezo huu. West Africans ndio mabingwa kwenye mchezo huu. Usituone wajinga. Huwa mnapigwa kwenye soka. Hata Kenya imepiga timu ya Tanzania mara nyingi na nimetazama mechi hizo. Tafuta mtu wa kudanganya.
Sikatai West na North kwa historia ndio Vinara wa soka, but now things are shifting East and South, and for East Africa sisi ni Vinara.
Imagine
Just imagine as we speak Simba has a deal on table just to confirm the transfer deal for their Mozambican midfielder Luis Miquiosone to El Ahly kwa $2m
And Simba may turn it down
That is a season budget for your KPL
Screenshot_20210729-165932_Twitter.jpg
 
Mna boxers wangapi ambao wanashikilia mishipi ya WBA, WBO, IBF au WBC? Usituone wajinga Mr. Sisi wote hapa ni watu wazima na tunajua nchi ambazo zipo vizuri mwenye mchezo wa Ndondi. Nyinyi hamko huko.
Count yourself, where are the Kenyans ??
20210729_170651.jpg
20210729_170837.jpg
 
Sikatai West na North kwa historia ndio Vinara wa soka, but now things are shifting East and South, and for East Africa sisi ni Vinara.
Imagine
Just imagine as we speak Simba has a deal on table just to confirm the transfer deal for their Mozambican midfielder Luis Miquiosone to El Ahly kwa $2m
And Simba may turn it down
That is a season budget for your KPL
View attachment 1872994
Boss kwa kandanda hatujali mna pesa ngapi. Sisi tunajali mna vikombe vingapi. Hapa barani Afrika East Afrika haijawahi kushinda kikombe chochote cha World cup au African cup of nations. Angalau south wako vizuri kidogo maana Zambia wamewahi kushinda African cup of nations. Kama nilivyokuambia mambo ya mpira hata sisi ni wajuzi. Tunaifahamu historia ya mpira ndani nje. Huwezi kutudanganya. East Afrika ipo zero kwenye mpira.
 
This is U20 PL,
Imagine with sstadium to almost full Capacity,
Timu namba moja kwa majirani hata hela ya maji hakuna, njaa tupu na ufukara,
They roam in this Nganya attached.
20210729_162102.jpg
Gor-Mahia-team-bus.jpg
 
Naona Nyang'aus na Danganyikas wanabishana tu hapa kujipa ujiko wakati wenye mpira wao FIFA wamerank:-
1.Uganda
2.Kenya
3.Tanzania

Uganda Ni ya 84 duniani, Kenya ya 102 na Tanzania ya 137. Hivyo basi Uganda ndo namba Moja Afrika Mashariki, hakuna haja ya kujipa ujiko and topic closed.
 
Hakuna siku Tanzania imewahikuwa mbele ya Kenya kwa chochote
 
Unaringa eti mna pesa ila huwa mnapigwa kila siku na timu za nchi zingine. Hata timu za Kenya huwa zinawafinya.
Timu gani zinatupiga, Simba haijapoteza Mechi hata Moja Uwanja wa Nyumbani for more than 4 years while playing against any African Champion that ever Landed to Tanzania, Simba ni timu Kubwa yenye clean sheet bro.
20210224_174740.jpg
Screenshot_20210729-175204_Chrome.jpg
20210106_211321.jpg
20201204_211335.jpg
20201204_211329.jpg
 
Back
Top Bottom