Timu Gani Itapewa Nafasi ya Uingereza Baada ya Kujitoa Euro?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Baada ya Waingereza Kupiga Kura ya Kujitoa Euro na huku wamefuza 16 BORA nawasiliasha mada hii chokonozi
 
Haaaa, we jamaa wewe da! Euro ni michuano ya soka mataifa yote ya Ulaya yaliyofuzu. Jumuiya ya Ulaya ni kama AU ya Africa au Afrika Mashariki.
 
Baada ya Waingereza Kupiga Kura ya Kujitoa Euro na huku wamefuza 16 BORA nawasiliasha mada hii chokonozi

Mkuu, Uingereza imejitoa kwenye European Union na sio UEFA hivyo itaendelea kushiriki michuano ya UEFA kama kawaida.

Ila wachezaji wengi wa kutoka EU ambao mpaka jana walikuwa hawahitaji visa kucheza UK, baada ya mambo kukaa sawa watahitaji vibali vya kufanya kazi nchini UK, hali kadhalika kwa wachezaji wa UK wanaotaka kwenda Spain Italy na kwingine barani Ulaya nao watahitaji vibali vya kufanya kazi katika nchi hizo au katika eneo lote ambalo linaitwa European Economic Area au EEA.

Kwa kifupi wachezaji wa kutoka EU wanashuka na kuwa sawa na wachezaji kutoka nje ya EU hasa Afrika ambao ni lazima wawe na vibali vya kuwawezesha kusakata kabumbu kwenye ligi kuu ya Uingereza.
 
Back
Top Bottom