Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
mkuu vicheche havieleweki wanabadilika badilika....
Yoyo,
Imesemwa kuwa :-
1. Mwanamke anampenda mwanaume, anaona jamaa yake tabia mbaya na anafikiri kuwa tukioana jama atabadilika - jamaa habadiliki.
2. Mwaume anamkuta Kicheche, moto kwelikweli, umbe namba nane, tabia nzuri, unatunzwa kama mboni ya jicho, unaona nimepata toto bomba sana, huyu ndiye atanifaa na milele atakuwa hivyihivyo - Akiowa tu ......kasheshe.