Time ya post hapa jamvini

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,171
Mods tunaomba mrekebishe server time naona inasoma masaa matano mbele kwa mfano mie nipo tanzania na time ya post hii ni 21:57 lakini utaona 02:57 wakati mwanzo ilikuwa inatoa exactly time
 
Mkuu ndo unakosea, i think pindi unapofanya setting kuna kuwa na option ya time.
 
Back
Top Bottom