Time watcher

Ngalewa

Member
Jun 24, 2012
97
10
Wadau nataka kuanzisha internet cafe dodoma mjini me nipo chuoni sasa nilitaka kujua software gani ya time watcher ambayo itanisaidia nisiibiwe iwe ina count muda kila mtu akiingia ihesabu ili jioni nijue nikiasi gan cha muda kimetumika na pesa msaada wenu pliz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom