Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Yes, BUT utakua umeanzisha kama another thread of life somewhere else ambayo haitaendana na ulivoiacha, mfano kama wazazi wako wapo hai saahv inamaana ukirudi kuwaua, another frame will continue, and hapo hapo ulivowaua kuna mwingine anaweza kurudi enzi za uhai wao tena
Wanaita Quantum continuum nadhani
 
Mada ngumu kuielewa ila ungefafanua kwanza maana ya time travelling na mifano iliyo hai
Nenda hata google ujielimishe na wewe sio kila kitu uambiwe utakuwa baba wa aina gani kwa wanao kama haujui kitu simple kama time traveling?!

Movie kibao zinaongelea hi kitu inamaana hautazami movies , au we ndio wale wa zile za kutasiriwa na hawa makanjanja .....
 
Vipi ukirudi nyuma unaweza ku-edit makosa yako ya nyuma then yakaleta direct effect kwa kwa maisha yako ya sasa?!

Mfano unarudi miaka kadhaa nyuma,unakua uko kwenye chumba cha mtihani wa form 6 then ukapiga paper fresh tofauti na ulivyopiga zamani je itabadili matokeo ya necta hadi kwenye database yao?


If not yes,what amazing is this invention ...we better adopt it ila inaweza kutuumiza maana waliompiga lissu watarudi nyuma wasirudie kosa,

If not,its just read only memory (ROM) kinda stuff, it just a dream...hence bullshut
Kwa mfano ukirudi hadi mwaka ulipofanya necta ya form 6 utakuwa umondoka at your present na umekwenda kwenye past yako. Of which sasa ukiwa hapo kwenye mwaka wa kupiga pepa your previous present become your past na your previous past now itakuwa your existing present.

Therefore, wewe utakuwa upo katika wakati ambao upo wewe mara mbili sasa sababu haukuondoka huo mwaka uliopo bali umejikuta kabla ya kufanya mtihani.

Sasa hapo labda ujiteke ukapige pepa fasta fasta kisha usepe na kurudi at your current present of which by the time umeondoka na kwenda wakati kabla haujapiga pepa imekuwa ni past yako wewe uliyesafiri kurudi nyuma ya muda.

Shida ni moja sasa tufanye ulienda mwaka 2010 kurekebisha makosa ya form 6 then ukirudi mwaka 2021 ,yale matokeo yatabadili trend ya past yako ambayo itaathiri present yako.

Usishangae unafika mwaka 2021 unakuta kuna vitu vimetokea na wewe u are not aware. What if ulipofaulu form 6 ikafanya upate sponsorship ambayo currently haujui lolote kuhusu.

What if ile sponsorship ilikufanya kuwa mtu mwenye mafanikio sasa. So kitakachotokea ni kwamba utaporudi utarudi katika dunia yenye maswali ambayo wewe hujui chochote kuhusu. Maana ulichobadili nyuma kinakwenda kubadilisha trend ya maisha yako na kila kinachokuzunguka.

So utakuwa kama ile movie inaitwa hangover. Jamaa wanaamka halafu hawaelewi nini kilitokea jana yake so wanaanza kupekua

Sasa utashangaa umerudi mwaka 2021 unakutana na mtu anakuita shemeji ulikuwa wapi unasubiriwa hospital mkeo ameshajifungua.

Mara unakutana na mtu anakuita boss mbona umeondoka tokea jana hatujui upo wapi kazini unatafutwa.

So imagine hiyo complication itabidi uanze blend katika maisha ya tofauti kabisa ambayo haukuwapo awali.
 
hii kitu haipo n nadharia tu em jiulze mtu anasema amesafr kwenda 2046 na kupga picha hao watu wa 2046 wametoka wap mpaka yeye asiwepo at that curent time?? amerud miaka 2000 nyuma wakat wa tukio la yesu kula last saper katika wale watu 12 waliokuepo kwenye the last sapper ye alismama wap au aljuaje pale ndio the last saper au kama altua kwenye nyumba ya ya Zakayo akiwa na familia yake kwenye karam ya jion tunajuaje? yan hii kitu haipo kawaida ya wazungu hutufanya kufkiria upuuz ambao haupo il tue bize kukimbzana nao uku wao wakikava curent stuation na kufanya vtu vya juu zaid na ss kubak na migongano ya kiwazo tu
Huwezi kuwa na uhakika kihivyo. Wewe haujui kama mwaka 2046 tayari kuna existing life na kuna hiyo technology tayari na wanakuja huku.

Hebu imagine mtu kama Steve jobs alikujaje na wazo la kutengeneza smart phone, Swatch, na other gadgets, Mark Zuckerberg alipataje wazo la Facebook and why inakuwa ni out of nowhere mtu anakuja na uvumbuzi au idea ambayo ni totally foreign and beyond the current level of thinking.

Nikikuchukua wewe hapa nikakurudisha hadi mwaka 2000 ukiwa na akili hii ya sasa hebu nambie utafanya mangapi mkuu?! Na utakayofanya je ukipitiliza hauta raise maswali kwa wengine juu uwezo wako ambao unakimbiza na kujump nyakati?!
 
Hivi tuseme, watu mfano wa manabii ambao huota jambo litakalotokea mbeleni kwa uhalisia wake kabisa, wao huita 'maono' huwa ni ni nini?

Mfano aweza kuliota jengo ambalo hata kiwanja chake hakijanunuliwa, lakini baadaye ikaja kuwa kweli!

Ujue dunia hii ina mambo mengi sana ambayo mengine hadi utaingia kaburini, hautapata kuyaona, kuyasikia wala kuyawaza, lakini yapo.

Na jambo usilolijua wewe haulizuii uwepo wake.

Elimu usiyokuwa nayo wewe, aweza kuwa nayo mwingine kutokana na vipawa mbali mbali walivyoumbwa navyo wanadamu.

Me nadhani ukifika katika mjadala usioufahamu ni vema kukalia bench na ukawa msikilizaji tu.
Kabisa mkuu. Unajua sisi waafrika uwezo wetu wa kufikiria unapofika mwisho basi tunaassume kuwa hakuna anything nje ya hapo. As if ukomo wetu wa kufikiria mambo ndio unadetermine nini kina exist hapa ulimwenguni.

Kuna kipindi waafrika tulijua anga ndio mwisho wa kila kitu na dunia ni flat surface. Ila leo wazungu hawakukubali hadi wamekwenda nje ya dunia na kuleta video za HD na 8K zenye kuonyesha clearly ulimwengu namna ulivyo huko nje.

Ila bado kuna watu hawajui hilo
 
Mzee ukitaka ku-time travel unatakiwa atleast uwe na speed zaidi ya Light. Kutokana na equation ya Einstein ya E=MC2 ili uwe na speed zaidi ya light inatakiwa hicho kitu kisiwe na Mass au energy inayotakiwa kukipeleka speed ya light iwe infinity. Yaani uchukue matter yoote ya universe uichange into energy ndio unaweza kumove kitu chenye mass into speed ya light.

Sasa kupunguza tu wingi wa maneno ni kwamba haiwezekani.

Hio ni physics point of view.. sasa ukitumia logic ya kawaida kuna ile kitu wanaita " grandfather paradox " mfano ukifanikiwa kutime travel ukaenda ukamuua babu yako inamaana baba ako hatazaliwa na wewe hutazaliwa inamaana hutaexist ili kuja kutimetravel kumuua babu yako.. unaona changamoto ilipo.
Mmmmmmhmn mzee hii kitu haujaisoma deep. Umbo low sana ..... Hebu nenda mtandaoni kasome tena sababu me siku kadhaa nilikuwa nasoma mtandaoni na kucheki video.

Nahisi hii teleporter mashine ya time traveling imeshatengenezwa in the future na kuna watu wa future years tupo nao hapa mwaka 2021.

Usichukulie mambo kirahisi mzee baba
 
Travel to the future might be possible but to the past it’s impossible.
Time has got only one direction, foward.

I stand to be corrected.
Times works forward yes ila haimaanishi kuwa you can't go back through it.....

Ni kama useme barabara inayopitisha direction moja tu kuwa sitaweza kuipita nikienda opposite direction ....?!
 
hio ni method ya zamani, TIME TRAVEL is possible only under the conditions of space time! nkimaanisha tearing a part of space and diverging to the other side or simply you can use WORM HOLES!
Black holes. Also dimensions
 
Hakuna hata haja ya kufafanua time traveling bali afafanue time Kama time Kisha aonyeshe ni kivipi au ni katika namna gani inawezekana time traveling..?

Binafsi nachoona hili jambo ni mkanganyiko sana ktk namna ya kulielewa!, nadharia alizozielezea hapo sijui Kama zinawezekana!. Maana kwa namna alivyoelezea yaonyesha Kama muda ni vipande vya mkate! Yani hivyo ndo vinamatukio yalivyo so ni kama mkanda wa VHS yani ukiwa unaangalia muvi tukio lililopita hiyo ni past,tukio lililopo hiyo ni present na tukio lijalo hiyo ni future.

Tunapozungumzia time moja kwa moja tunaigusa space.. na space sidhani Kama inakitu cha namna hiyo cha kunakili matukio kana kwamba ukirudi nyuma au ukienda mbele utayakuta!! Sidhani hili Kama lipo..
Time traveling ambayo ni simpo na nayoielewa ni mfano wa barafu inavyoweza kugandisha kitu kisiharibike kwa wakati huu na hicho kitu unaweza kukitumia baadae!. I mean Kama utaweza kumuweka samaki ktk barafu na akakaa miaka 5 na wakati alitakiwa aharibike so kwa kuweza kumtunza akakaa miaka hiyo mitano bila kuharibika hiyo mi ndo naita time traveling!. So Kama kutapatikana teknolojia ya kuweza kumfreez binadamu then ukaja kumuamsha hata baada ya mwaka mmoja au mia akiwa vilevile basi hiyo ndo naita time traveling!.. hichi kitu naona kitakuja kuwezekana.

Time traveling kwa future naona ni concept inayowezekana ila ya past naomba hapo nikuambie tu sijui na hapa ndugu yangu chukua pop corn nakuwekea na haka ka burudani ujifurahishe..
View attachment 1973641

Watu wanachanganya concept za movie na zile za uhalisia!,time traveling bado haijaweza kudadavuliwa kwa 100%. Zaidi ni nadharia but practically mazingira bado ni magumu.. tukija kwenye nadharia za Albert Einstein Kuna vitu viwili vinaweza kuathiri muda navyo ni speed na gravity. Nakubaliana nae sasa ktk speed hii concept naielewa lkn mpk mtu kufikia hatua ya kupatikana ile effect ya time traveling na kuona kabisa huyu kafanya time traveling into the future ni aidha asafiri ama Kama spidi ya mwanga au karibu na spidi ya mwanga!! Mpaka Sasa hatujaweza kutengeneza kifaa cha namna hiyo ila hii concept ukiifatilia vizuri utaelewa ni kivipi spidi inaathiri muda so nenda kacheki utaelewa vizuri sana.

Gravity hii nayo inaathiri muda pia lakini hii pia mpk kuona moja kwa moja kuwa mtu huyu ame time traveling ni ngumu maana inahitajika gravity kubwa Sana ambayo inapatikana kwenye ma black holes huko.. nako ni mbali kinyama kufikia huko na aidha ukiingia unaweza usitokemo na ukiweza kutoka basi utakuta ni miaka mingi imepita huku duniani hivyo utakuwa ume time traveling into the future. Hapa nimeelezea kwa uchache sana ila fatilia time traveling ya kwenye vitabu vya fizikia achana na muvi utachanganyikiwa bure!

Nenda YouTube search Brian Greene huyu kazielezea hizo concept kiundani zaidi Kama ilivyodadavuliwa kisayansi kabisa na nguli wa fizikia Albert Einstein.
Nadhani wewe haujasoma latest findings....
 
time travel kurudi nyuma ni rahisi kuliko kwenda future ndo maaana event za mtu kwenda zamani ni nyingi, scientifically hata wewe ukiwa na nyenzo unaweza kufanya ivo, ngoja nkupe scenario uelewe!

- si unajua kwamba ili uweze kuona kitu ni lazima mwanga upige apo alafu ufike machoni? na spidi ya light si unaijua? 299 792 458 m / s

sasa tuseme umekaa sehem unaangalia movie, ili uweze kuona movie yako lazima light itoke kwenye screen ikufikie, sasa imagine unakimbia opposite the screen ina maana light inachelewa kukufikia kwenye macho, now imagine unakimbia katika speed of light opposite movie yako, ina maaana light haiwezi kukufikia kwenye macho kwa sababu unaenda same same that speed needed kufika kwenye macho kwahio wewe kwako TIME SLOWS DOWN, ukienda zaidi ya hio speed of light maaana yake umepita speed ya mwanga kwahio unakua unaona mwanga wa nyuma, kwahio TIME GOES BACKWARDS kwako, huu mfano sio realistic ila ndo principle nzima iko ivo
In your timeline kwenda future is impossible ila kwenye past is possible.
 
Yes, BUT utakua umeanzisha kama another thread of life somewhere else ambayo haitaendana na ulivoiacha, mfano kama wazazi wako wapo hai saahv inamaana ukirudi kuwaua, another frame will continue, and hapo hapo ulivowaua kuna mwingine anaweza kurudi enzi za uhai wao tena
At the same time wewe utakua umezaliwa na wazazi gani?

Meanwhile ulio waua sio wazazi wako
 
Back
Top Bottom