Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

Kuna mambo mengi yanafikirisha sana kwa mfano:
Ukisafiri kwa kasi ya mara nne ya kasi ya mwanga kwa sekunde moja
Kasi ya mwanga 300,000km × 4 = 1,200,000 kwa sekund moja

Sekunde 125 × 1,200,000 = 150,000,000 kilometa utaondoka inje ya mifumo wa jua na kuanzia hapo ukitafta muda wa kusafiri kwa sekunde moja inje ya mfumo wa ni miaka ya nuru 1,200,000 kama utaongeza muda wa sekunde 125 × 1,200,000 kwenda na kurudi katika mfumo wa nyota ya jua ni sawa na miaka 150,000,000 ya nuru.
Na utaanza sekunde 125 za kuitafta dunia ambapo hesabu kamili ya muda wako halisi itakuwa mbele kwa miaka 150,000,000 na sekunde mia mbili na hamsin (250) kama umeondoka duniani na umri wa miaka 30 utarudi duniani na miaka 30 na sekunde 375 ila muda wa Duniani utakuwa mbele yako kwa miaka 150,000,000 na sekunde 250 kila ulicho kiacha hautakikuta utaikuta dunia mpya kama utaishi kwa kufanya hivyo huenda ikakuchukua mabilioni ya miaka kufika muda wa kuhisi njaa.
kwani njaa si unatembea nayo lazima uihisi
 
Si kweli kua utaenda past. Kwenda past haiwezekani, ni impossible, hata theoretically ni impossible siongelei physically tu. Kwenda future inawezekana ndiyo na proof zipo, ila kwenda nyuma ni impossible, what has happened has already happened, time ni abstraction tumetengeneza wenyewe kuexplain phenomena flani in nature ila doesn't mean kua kuna kitu physically kinaitwa time ambacho unaweza manipulate.

Ukitravel kwa speed ya mwanga (which is impossible coz you have mass) ni kama una-exist in all places at the same time, hii haimaanishi umeenda to the past hapana, bali upo in all places at once, the moment unapostop kuobserve there's no way utakua in the past, either the present somewhere else au in the future.

Unavyozunguka close to the speed of light basi time goes slower for u kuliko observer, haimaanishi unaenda past hapana, ila kwako sekunde tano yaweza kua mwaka kwa mwingine. Hii ni possible na proof zipo.

Tusiongelee kuhusu faster than light kwa kua ni impossible, huwezi kua na infinite mass, hii ingewezekana basi ingekua the end of the universe as we know it. Njia pekee ya kucover distance kubwa ni kwa kudistort spacetime, hii nayo ni theoretical japo scientist wanatafuta njia.

Swala la kwenda to the past futa kabisa akilini, ni impossible, stop wasting time with it in your mind, ni possible kwenye movies tu ila science inagoma. Kwenda past ni sawa na kuviolate conservation of energy.

Graph usiwe na maneno ya kusema impossible kwa mambo usio na ujuzi nayo.Dunia hii kila linalofanyika Tangu mwanzo limehifadhiwa.na ndio sababu tunaziita "Nyakati" na sio "Muda".Bro amini nakuambia "Future Past".namna ya kuifikia ndio bado haijavumbuliwa.
 
Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.

Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.

Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
 
nakufatili mkuu.

nasubiri maelezo yako kuhusu concept ya Bwan Einsten kuhusu theory of relativity
 
Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.

Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.

Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Kaka sikukatalii mtazamo wako.na Imani yako juu ya uelewa wa jambo hili.Sio habari za alinacha .soma kisa cha Malkia Sheba(Balkis) na Mfalme solomon(Suleiman)...
Kiufupi Kiti cha enzi cha malkia Balqis kilisafirishwa kutoka Ethiopia mpaka Palestina kwa speed kubwa zaid ya speed ya mwanga..na hii imetokea hapa hapa duniani tena wakati wa nyuma kabisa kabla ya yesu na Mtume Muhammad saw...
Kisa chenyewe kwa ufupi ni kua "Suleimani akiwa na jeshi lake alitoa agizo la kuletewa Kiti cha enzi cha Malkia Balqis.Mmoja kati ya askari wake akasema anaweza kukileta kabla ya kukauka kwa Mate atakayotema chini.Askari wa Kijini ambae pia alikua katika jeshi la Mfalme Suleiman akaona ni muda mrefu sana huo akamwambia mfalme suleiman atakileta kiti hicho kabla ya kusimama wima kutoka kwenye kiti chake alichokikalia.Akasimama mwanajeshi wa tatu ambae alikua Myahudi kama yeye Mfalme Suleiman na Kumwambia .Mfalme mimi nitakuletea kiti hicho cha Enzi cha malkia Balqis kabla ya kupepesa mboni ya jicho lako.na Kweli kabla ya kupepesa hizo kope zake Kiti kilikua mbele yake...
Nakuacha kwa kukuuliza swali hili...Kile kiti kilikua na Mass 0,?
 
Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.

Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.

Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Graph my brother vitu impossible ni viwili tu ambavyo M/Mungu ametuambia hatuwezi kuvibadili 1,Uzee 2,Kifo
Ni lazima tuzeeke na lazima tufe..Mamlaka ya kuitawala dunia na kuitumia tutakavyo ametupatia..Siri za ulimwengu huu tulizokwisha kuzigundua ni ndogo mnoo na mfano wake ni kama punje ya mchanga uitupe ndani ya Bahari ya Atlantic...
Mpaka sasa tunawasifia sana wakina Izack Newton.Eisten na wengineo kuwa walikua na akili nyingi na uwezo mkubwa wa kutumia Ubongo wao..Lakin yote waliofanya ni asilimia 3 tu ndio waliotumia 97% hawajaitumia kabisaa..
 
Umeanza kunichanganyia dini kwenye science mkuu? Sio kila mtu anaamini mambo ambayo hayana proof hayo. Sorry sana aisee dini peleka kwa wengine.
 
Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.

Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.

Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
mkuu kwenye kitabu cha stephen hawking (BRIEF ANSWERS TO BIG QUESTIONS) alipokua anaelezea kuhusu uwepo wa Mungu alisema kwamba "Some things just need to be given time in order to prove them totally right or wrong"(sijaquote exactly lkn hicho ndicho alichomaanisha) akimaanisha kwamba tutafikia muda na sisi tutajua origin yetu ni ipi LAKINI itatuchukua muda sana kujua. na alitoa mifano kama vle kuna watu waliamini sana katika laws of motion za newton lkn kwa sasa tunaona newton nae hayuko sahihi kivile.

Ungekuwepo mwaka 101 afu ukaambiwa kwamba miaka hii watu tungekua na smartphone basi ungekataa kwa asilimia 10000000% lkn nadhan unaona sasa zinatumika

SO MY POINT NI KWAMBA HIVI VITU TUVIPE MUDA TU. I BELIEVE IN THEORETICAL PHYSICS COZ INATOA MAJIBU KUHUSU MASWALI MENGI SANA.
 
Ungekua umefanya research usingeandika uongo. Mbona ni very obvious. Mkuu sina muda wa kupoteza na wewe aisee, ni ignore tu maana hutaki kushindwa
Haya mkuu nimekusamehe kua na amani
 
Umeanza kunichanganyia dini kwenye science mkuu? Sio kila mtu anaamini mambo ambayo hayana proof hayo. Sorry sana aisee dini peleka kwa wengine.

Proof IPI unayoitaka..kwa hio in science ipi unayoijua..Only mathematics ndio inayoweza kuwa proverble kwa namba..think twice bro! Kuna vitu viwili watu kama wewe wa kukopi na kupest mnapungukiwa.
1.Mnadhani ufaham wa mtu upo kweye sense organ pekee.huko ni kukosa msarifa na kufeli katika kupambanua mambo.
2.Unaweza kuwa umekusanya phd hata 3.lakin ukawa bado mjinga tu kama hutokua na "Viini vya Akili",na kua na viini vya akili ni kujitambua wewe ni nani na nini kusudio la wewe kuwepo ktk uso wa dunia.Pia kuufuta ujinga ulio ndani ya Ubongo wako kua Ulimwengu huu ulitokea kwa bahati mbaya na utaodoka kwa bahati mbaya pia.Kaa ukijua Ulimwengu huu yupo alieye uumba na ni yeye pekee anaeuendesha na hajamshirikisha yoyote katika Kuumba mambo haya.Na pia Yu vilevile alivyokua kabla hajaumba mambo haya.Anajua yaliokua na anajua yanayokua na anajua yatakayokua...Na anajua yasiokua laiti hayo yasiokua yangekua Anajua yeye vip na namna gani hayo yasiokua Yangekua..
 
Time traveling inawezekana bible na Quran Hilo jambo wanalijua wala hawana shaka nalo wameshalitolea maelezo kilichobaki ni utekelezaji

Je utekelezaji utapatikana wapi?

Utekelezaji wa time traveling utapatikana kwa kuelewa nature ya time-space

Hivyo bible na Quran zimethibitisha Hilo jambo linawezekana bila shida
 
katika kisa cha mtume muhammad kwenda mbinguni ndani ya usiku mmoja tu akiwa na mnyama wa ajabu anaeenda kwaspidi kali mfano wa mwanga, mtume aliona watu na adhabu ambazo watazipata waovu mbalimbali na akawaona wanawake wengi wapo motoni.

je aliwaonaje wakati bado Wanaendelea kuzaliwa hapa duniani ?

hapo utaona kwamba kama alikuwa ameoneshwa future ya hao watu.

pia inasemekana jibriyl alifika mahala akasema hawezi kwenda zaidi ya hapo kwa sababu Akizidisha kwenda atapukutika na kupaduka pasuka(sinauhakik sana)

lakini nina aminj huko juu wana sayansi watavumbua hapobaadae kwaba kuna sehemu ukizidi kwenda basi unayeyuka na kugawanyika ukapotea kabisa katikaulimwengu ukabaki vipande vipande.

tukumbuke kuwa dunia ni punje ya mchanga katika universal yetu.

hivyo kuna mengi nje yetu hatuyajui kuliko tunayoyajua.

napitia sana Qurani naaya zake zile za miujiza na maajabu zinafikirisha sanaa.

Inasemwa kwamba malaika wameumbwa kwa nuru yaai kama mwanga hivi.

hapo hapo Allah anawasifia malaika mwendo wao na spidi yao ni hatari zaidi.

hapo inaonesha kuna uhusiano mkubwa kati ya nuru na ukubwa wa spidi yaoo malaika..
 
Similar Discussions

81 Reactions
Reply
Back
Top Bottom