Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,736
- 6,155
Ungekua umefanya research usingeandika uongo. Mbona ni very obvious. Mkuu sina muda wa kupoteza na wewe aisee, ni ignore tu maana hutaki kushindwaUnajuaje sijafanya research? ??
Ungekua umefanya research usingeandika uongo. Mbona ni very obvious. Mkuu sina muda wa kupoteza na wewe aisee, ni ignore tu maana hutaki kushindwaUnajuaje sijafanya research? ??
kwani njaa si unatembea nayo lazima uihisiKuna mambo mengi yanafikirisha sana kwa mfano:
Ukisafiri kwa kasi ya mara nne ya kasi ya mwanga kwa sekunde moja
Kasi ya mwanga 300,000km × 4 = 1,200,000 kwa sekund moja
Sekunde 125 × 1,200,000 = 150,000,000 kilometa utaondoka inje ya mifumo wa jua na kuanzia hapo ukitafta muda wa kusafiri kwa sekunde moja inje ya mfumo wa ni miaka ya nuru 1,200,000 kama utaongeza muda wa sekunde 125 × 1,200,000 kwenda na kurudi katika mfumo wa nyota ya jua ni sawa na miaka 150,000,000 ya nuru.
Na utaanza sekunde 125 za kuitafta dunia ambapo hesabu kamili ya muda wako halisi itakuwa mbele kwa miaka 150,000,000 na sekunde mia mbili na hamsin (250) kama umeondoka duniani na umri wa miaka 30 utarudi duniani na miaka 30 na sekunde 375 ila muda wa Duniani utakuwa mbele yako kwa miaka 150,000,000 na sekunde 250 kila ulicho kiacha hautakikuta utaikuta dunia mpya kama utaishi kwa kufanya hivyo huenda ikakuchukua mabilioni ya miaka kufika muda wa kuhisi njaa.
Si kweli kua utaenda past. Kwenda past haiwezekani, ni impossible, hata theoretically ni impossible siongelei physically tu. Kwenda future inawezekana ndiyo na proof zipo, ila kwenda nyuma ni impossible, what has happened has already happened, time ni abstraction tumetengeneza wenyewe kuexplain phenomena flani in nature ila doesn't mean kua kuna kitu physically kinaitwa time ambacho unaweza manipulate.
Ukitravel kwa speed ya mwanga (which is impossible coz you have mass) ni kama una-exist in all places at the same time, hii haimaanishi umeenda to the past hapana, bali upo in all places at once, the moment unapostop kuobserve there's no way utakua in the past, either the present somewhere else au in the future.
Unavyozunguka close to the speed of light basi time goes slower for u kuliko observer, haimaanishi unaenda past hapana, ila kwako sekunde tano yaweza kua mwaka kwa mwingine. Hii ni possible na proof zipo.
Tusiongelee kuhusu faster than light kwa kua ni impossible, huwezi kua na infinite mass, hii ingewezekana basi ingekua the end of the universe as we know it. Njia pekee ya kucover distance kubwa ni kwa kudistort spacetime, hii nayo ni theoretical japo scientist wanatafuta njia.
Swala la kwenda to the past futa kabisa akilini, ni impossible, stop wasting time with it in your mind, ni possible kwenye movies tu ila science inagoma. Kwenda past ni sawa na kuviolate conservation of energy.
Graph usiwe na maneno ya kusema impossible kwa mambo usio na ujuzi nayo.Dunia hii kila linalofanyika Tangu mwanzo limehifadhiwa.na ndio sababu tunaziita "Nyakati" na sio "Muda".Bro amini nakuambia "Future Past".namna ya kuifikia ndio bado haijavumbuliwa.
nakufatili mkuu.Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.
Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.
Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Kaka sikukatalii mtazamo wako.na Imani yako juu ya uelewa wa jambo hili.Sio habari za alinacha .soma kisa cha Malkia Sheba(Balkis) na Mfalme solomon(Suleiman)...Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.
Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.
Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Graph my brother vitu impossible ni viwili tu ambavyo M/Mungu ametuambia hatuwezi kuvibadili 1,Uzee 2,KifoKuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.
Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.
Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Graph my brother vitu impossible ni viwili tu ambavyo M/Mungu ametuambia hatuwezi kuvibadili 1,Uzee 2,Kifo
Ni lazima tuzeeke na lazima tufe..Mamlaka ya kuitawala dunia na kuitumia tutakavyo ametupatia..Siri za ulimwengu huu tulizokwisha kuzigundua ni ndogo mnoo na mfano wake ni kama punje ya mchanga uitupe ndani ya Bahari ya Atlantic...
Mpaka sasa tunawasifia sana wakina Izack Newton.Eisten na wengineo kuwa walikua na akili nyingi na uwezo mkubwa wa kutumia Ubongo wao..Lakin yote waliofanya ni asilimia 3 tu ndio waliotumia 97% hawajaitumia kabisaa..
mkuu kwenye kitabu cha stephen hawking (BRIEF ANSWERS TO BIG QUESTIONS) alipokua anaelezea kuhusu uwepo wa Mungu alisema kwamba "Some things just need to be given time in order to prove them totally right or wrong"(sijaquote exactly lkn hicho ndicho alichomaanisha) akimaanisha kwamba tutafikia muda na sisi tutajua origin yetu ni ipi LAKINI itatuchukua muda sana kujua. na alitoa mifano kama vle kuna watu waliamini sana katika laws of motion za newton lkn kwa sasa tunaona newton nae hayuko sahihi kivile.Kuna vitu ni impossible na proof kua ni impossible ipo. Mfano binadamu huna mabawa huwezi kupaa bila kutumia chombo.
Kwenda past ni kitu kimekua proved again and again, ambao hamjasoma university physics mnaweza msielewe ila yeyote aliyesoma anajua haiwezekani, huwezi kwenda at light speed sababu inahitaji infinite energy, uwezekano wa kusafiri distance kubwa upo theoretically ila sio kwa kwenda speed kali hapana ni kwa kubend space time. Sasa kama hakuna kitu kama infinite energy unategemea past utaenda vipi? Vitu impossible vipo utake usitake in a million years I don’t care, impossible ni impossible.
Huo msemo never say never utumieni kwenye mambo mengine sio haya. Msikariri science sio siasa
Umeanza kunichanganyia dini kwenye science mkuu? Sio kila mtu anaamini mambo ambayo hayana proof hayo. Sorry sana aisee dini peleka kwa wengine.
katika kisa cha mtume muhammad kwenda mbinguni ndani ya usiku mmoja tu akiwa na mnyama wa ajabu anaeenda kwaspidi kali mfano wa mwanga, mtume aliona watu na adhabu ambazo watazipata waovu mbalimbali na akawaona wanawake wengi wapo motoni.Time traveling inawezekana bible na Quran Hilo jambo wanalijua wala hawana shaka nalo wameshalitolea maelezo kilichobaki ni utekelezaji
Je utekelezaji utapatikana wapi?
Utekelezaji wa time traveling utapatikana kwa kuelewa nature ya time-space
Hivyo bible na Quran zimethibitisha Hilo jambo linawezekana bila shida