Wewe ni SHIA kiitikadi au umeamua tu kufatilia maandiko yake hjyo msomi wa Kishia ?"Makarim Shiraz..hasa kwenye Atafsiru Nemuneh Juzuu 6 ukurasa wa 202,,shekh kama hujapita hapo nakuomba kapite ili angalau Uzione nyakati 6 za uumbaji.
Nakuuliza swali hili sababu naijua itikadi ya SHIA katika mambo mengi.